CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

Samia hawezi kukubali chenge awe spika. Chenge is beyond her league.....Tulia is most likely maana she can be easily controlled and manipulated.
 
Kama Rais wa Watanzania ni huyu usishangae wakishangilia jina la Chenge likipita.
Your browser is not able to display this video.
 
Tukushangae wewe unayeamini kwamba tupo serious,Hii serikali nzima ni ubatili mtupu,kuanzia wabunge wenyewe walivyopatika,madiwani,wenyeviti wa mitaa mpaka Raisi mwenyewe? Hao wote ni watuhumiwa wa dhuluma.

Hili unalotaka kushangaa ni dogo mno,wenye tuhuma mbona wengi sana humo CCM,waliochukua fedha za EPA,Ecrow kwenye masandarusi wako wapi?wengine ni wastaafu wanakula raha tu.
Mtu anaisababishia serikali hasara ya Bilioni 75 anahukumiwa kulipa faini ya milioni 2,hilo hushangai?

Haya Huyo Spika aliyepita si alimpiga mtu fimbo akazimia kisa ubunge,akatumia mabilioni India kwenye matibabu lakini akamnyima mwenzie Tundu Lissu matibabu ili aokoe uhai wake na akaona haitoshi akamfuta na ubunge kabisa?Kisha akawasajili Covid 19.

Acha niishie hapa lakini kumtafuta msafi humo kwenye lichama chakavu inabidi utumie tochi Kali otherwise acha mambo yaende kama yalivyo mpaka siku meza itakapopinduliwa.
 

Hago ni majungu ni chombo kipi kimemtia Change hatiani. Mambo engine tumieni akili spika hajawekwa na WA Tanzania Bali ni CCM labda ungesema kuwa CCM hawana akili. Kama una ushahidi nenda mahakamani. Acha majungu
 
Hago ni majungu ni chombo kipi kimemtia Change hatiani. Mambo engine tumieni akili spika hajawekwa na WA Tanzania Bali ni CCM labda ungesema kuwa CCM hawana akili. Kama una ushahidi nenda mahakamani. Acha majungu
Huko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.

Kitendo cha kukubali kuwa na Visenti tari ni ushahidi tosha ..... hayo ya kuwa convicted mahakamani ni ya system . Kama wote ni ukoo wa PANYA hapo unategemeea nini....!!?
 
Sasa wewe unasema nini,wakati wabunge wote kwenye magurupu yao washaamua kumpa chenge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hatujawahi kuwa serious lakini
 
Iyo mashine, na kichwa Kama hupiga pesa ila KWa kutumia akili kubwa, binafsi SIO CCM , na siwezi kuwa CCM maisha yangu tote ya hapa Duniani ila anafaa
 
Huko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.

Kitendo cha kukubali kuwa na Visenti tari ni ushahidi tosha ..... hayo ya kuwa convicted mahakamani ni ya system . Kama wote ni ukoo wa PANYA hapo unategemeea nini....!!?
Kwani ni kosa kuwa na vijisenti
 

Wewe ndio haupo serious. Kumbe MTU mwenyewe unae mnyanyapaa ana tuhuma Tu. Tuhuma ambazo hazija thibitishwa na mahakama yoyote. Please be serious mkuu just for a second.

Hata wewe huko mtaani kwenu unaweza kuwa una tuhuma.

Nyerere, Sokoine,Mandela, YESU, Mtume, Ibrahim, Daudi,Mussa etc walikuwa Na tuhuma sembuse Chenge..

Na asie Na tuhuma awe WA Kwanza kumrushia jiwe Mh. Chenge
 
Huyu joka la makengeza aliua kwa kuwagonga na gari wanawake Wawili na siyo mtu moja., na hiyo Gari haikua na insurance. Alipigwa faini ya laki 8 na alijitolea kuwazika marehemu nafikiri mwanza
 
Hata mimi nashangaa, mtu ana matuhuma lukuki za ufisadi lakini bado watu wanampendekeza. Tz is going down b'coz of ccm
Change mwizi mkubwa uingereza alipelekwa na pingu mikononi kwa mipesa ya cha juu aliyoenda kuficha nchini kwao

Ikathibitika in kibaka pesa zilizoibiwa zikarudishwa Tanzania miradi ya Elimu

Ila kwa vile alikuwa serikali ya mijizi kipindi mile cha Kikwete wakamrudisha ubunge

Magufuli kuja akampiga chini hini sasa limeona fursa za wizi zinarudi limechukua fomu jizi kubwa

SFO yaani serious Fraud office ya uingereza wanamjua ni kibaka aliyekubuhu ni tishio kwa diplomasia ya kimataifa kuchagua mwizi certified international kuwa spika

Pitisheni yeyote CCM lakini sio hilo jizi ambalo hats ushahidi upon kimataifa uko SFO kwa wafanya vetting kama mumelala na hamjali
 
Chenge hana shida zile zilikua siasa chafu tu kama alizofanyiwa Edward lowasa na kina dr slaa..
Anafaaa mno hiyo nafasi
 
Kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa Chadema ndiyo yard stick ya siasa za Tanzania au unamaanisha nini ...!!?
Anamaanisha ulikua brainwashed na shutuma fake za chadema enzi zile,,
Kwa kuanzia tutajie ufisadi wa chenge tuone
 
Huko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.

Kitendo cha kukubali kuwa na Visenti tari ni ushahidi tosha ..... hayo ya kuwa convicted mahakamani ni ya system . Kama wote ni ukoo wa PANYA hapo unategemeea nini....!!?
Chenge kama lowasa tu ni tajiri kabla hata hajafanya kazi serikslini..
Hata hicho cheo cha mwanasheria mkuu amekitumikia mda mfupi tu enzi za mkapa, na hakuna shutuma zilikua proved.
Tatizo bongo tuna mentality ya kijamaa ambayo inafanya tuwa regard watu wenye fedha zao kama mafisadi,,
Huo ni utindiga[emoji851][emoji851]
 
I second this... [emoji3571][emoji3571][emoji3571]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…