CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

Wanasiasa wanapenda kuchafuana.
Nakumbuka aliyekuwa spika awamu ya 4 alimchafua kwa kitu cha ajabu sana eti ameonekana kwenye kamwra akimwagamwaga unga unga bungeni, Jambo ambalo haliiupaswa kuletwa public.
Nchi hii tumejijengea misingi ya chuki, uzandiki na fitina.
Mzee wa watu Chenge ana machungu makubwa sana moyoni.
Hata kauli ya vijicent ni ule unyantunzu wake ulimpoonza, alimaanisha kama ni pesa nje ya nchi mbona za kwake ambazo ni kidogo (vijisenti) ndivyo vinapigiwa kelele kuliko wenye mkwanja mrefu?
 
Hivi pale nani anayejielewa kama Mh. Chenge. Binafsi sioni.
Kama ni tuhuma kila mtu ana tuhuma zake.

SUKAH
 
Chenge hakupelekwa ulaya kwa pingu, hizo ni siasa zako chafu , waingereza ndo walituuzia rada kwa bei kubwa kuliko na ilipigundulika wakajikosha kwa kurudisha hela,,,
Chenge si fundi makanika wa rada , eti ajue rada fulani ndo inafaaa, hela zilizorudishwa hazikutoka account ya chenge
 
Kama hujui maana ya "Joka la Makengeza'' subiri uone!
 
itakuwa ngumu sana kumpitisha, kwanza kwa umri wake na maswala mengine mengi, Mama alishasema wazee wapumzike wawalee vijana na kuwaguide. Mtoto wa jijini dar Zungu maona akiwabwaga wote, cv iko vizuri na anauwezo wa kuliongoza Bunge, na hata kiwamudu vijana ambao ndio asilimia kubwa. lets see maana mchakato ndio upo jikoni
 
mbona washampitisha. Chenge kinachombeba sio mchoyo anakula na wenzake, tulia hapo aandike maumivu.

hata sasaivi utakuta chenge kesha wapanga na kuwaambia; ndugu zangu kabla ya kunichagua embu tugawane vijicent hivi mkapate walau maji ya kunywa.

Nchi imerudi kwa wenyewe hii.
 
Shida nnayoiona mm ni uvivu wa watu kufikiri na kutafuta maendeleo kwa kufanya kazi kwa kutumia Akili na Maarifa.


Mtu akipata utajiri kwa kujituma ataambiwa kajiunga na Freemason,Sijui Msukule etc.

MH Chenge ni Akili Kubwa.

Graduate wa Harvard University.

Extraordinary intelligence.

A cool and composed Lesrned Man.

Articulatory in law field at different approaches.

Full of advise and a true Navigator...


A fair referee at this moment.

Of course he is rich.

What is wrong by becoming Rich?
 
He is a right person to be a speaker for sure.
 
Kama kamba inaruhisu ale kwa urefu wa kamba yake
 
KAMA BUNGE hakiheshimu KATIBA Yeyeto atakayepishwa tutakuwa hatuko Serious
 
Huyo mwizi atapitisha mikataba ya upigaji
 
Unaposema C henge na Lowasa wametajirika kabla ya kuingia serikalini ... hapo sikuelewi au wewe ndiye huelewi.

Chenge amekuwa ofisi ya Mwanasheria Mkuu na maisha yake yote yamekuwa serikalini. Lowasa alikuwa ni Mkurungenzi wa AICC Arusha, kampuni ya serikali. Hapa swala siyo ujamaa bali ni uwajibikaji. Watu wasitajirike kwa mgongo wetu ... Chenge kama Mwanasheria mkuu mikataba mingi ya hovyo imesainiwa chini yake, sema tu hakuna anayataka kufukua makaburi nchi hii.
 
Akili kubwa ameliingiza Taifa kenye mikataba ya hovyo kivile ..... labda ni akili kubwa nkijijini kwake!!
 
Sasa watz ukisema wako serious labda kwenye memes, connections, ila sio mambo hayo, ila tutampitisha kwa ndioooooooooo
 
Nimepitia uzi huu kwa makini 😳😳😳 comment zote hadi page ya 4, hakuna anayekumbusha kuwa bunge lililopita chenge alikuwa mmojawapo wa wenyeviti (?) Wa bunge!!! Kama hao watanzania (ccm) unaotaka kuwashangaa sasa hawakupinga huyo mtemi kuwa mmojawapo wa viongozi bungeni inakuwaje sasa wamkatae?! Hata asipochaguliwa kuwa spika, wabongo hamjawahi kumkataa!!! Kama ninakumbuka vizuri, hata uchaguzi uliopita aliamua kutogombea mwenyewe, siyo kwamba alienguliwa kwenye mchakato. Hivi mbona hamjawahi kumkataa vasco da gama?! Au yeye siyo kibaka?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…