CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

Chadema wewe mumehongwa pesa na chenge kama Lowasa alivyowahonga vibaka nyie

Usalama wa taifa na uingereza ndio wanajua vizuri wizi qa change alikuwa hawezi saini mkataba wowote wa mwekezaji wa kimataifa hadi apewe dola laki mbili

Suti zake zote zilikuwa zinaenda kufuliwa dry cleaner Ufaransa DHL ndio walikuwa wasafirishaji

Huyo fisadi kawahonga chadema kama Lowasa alivyowahonga

Ushahidi Upo DHL pia lifisadi hilo
 
Kwa taarifa yako wewe fisadi mkubwa rekodi za ufisadi wa Chenge ziko recorded kimataifa sema fisadi Kikwete hakutaka kuchukua hatua Magufuli akadeal naye

Mama samia be careful usidhani una full control ya nchi kama General Ulimwengu alivyosema kuwa hujui Tanzania huyo fisadi kikwete asikuburuze anything anytime can happen
 
Ali deal nae kivipi wakati yuko nje anatamba? Acha ujinga.

Harafu wewe Sukuma gang unatutia kichefu chefu toka hapa mliharibu Nchi nyie kenge.
 
Wewe abiria wa ajabu sana! Driver anapiga U-turn kisha anatembea Km 200 kuelekea mlikotoka, lakini wewe bado hujui tu kwamba mnarudi mlikotoka?

Au unasubiri Mzee wa Msoga ahamie Ikulu ndipo ujue kwamba safari ya kwenda Canaan imeshakufa?
 
Wapitishe wengine alafu lawama sije kwa wote ?

Kweli wewe hauko Serious
 
Ali deal nae kivipi wakati yuko nje anatamba? Acha ujinga.

Harafu wewe Sukuma gang unatutia kichefu chefu toka hapa mliharibu Nchi nyie kenge.
Kibaka kikwete na genge LA vibaka wake akina Chenge ndio waliharibu nchi hadi ikataka kuchukuliwa na upinzani magufuli akairudisha kwenye reli
 
Tangu lini watanzania na CCM walikuwa serious, vingap vinafanyika na kufanywa na viongozi, wananchi tumebaki kuuchapa usingizi?
Yeyote atakayepita hakuna kipya kitakachotokea kwa wananchi
 
Ali deal nae kivipi wakati yuko nje anatamba? Acha ujinga.

Harafu wewe Sukuma gang unatutia kichefu chefu toka hapa mliharibu Nchi nyie kenge.

Ali deal kwa kumkata jina lake bahati yake alikua anajua chocho za kuroga usukumani JPM hakumfunga
 
Ukistuka kuona kichuguu,, basi utazimia siku ukiuona Mlima...

Chenge anaweza pita,,, hii nchi yote yanawezekana
 
M
Ukistuka kuona kichuguu,, basi utazimia siku ukiuona Mlima...

Chenge anaweza pita,,, hii nchi yote yanawezekana
Mh Raisi anapotoshwa na baadhi ya watu kwa personal interest zao ngoja wamzunge waje wampindue subili amuweke chenge
 
maselle ni mzuri kuliko wote

Bila kutueleza specific accomplishments zake, tutakushauri umkaribishe kwako mnywe naye chai tu. Hivyo ndivyo Mwalimu alivyokuwa anawashauri watu waliokuwa wanasema irrationally kuwa wanawapenda candidates fulani!
 
What has he done for this country to remember him for? That’s what counts. All else is his own grandeur with little or no real value to the country!
 
Chenge ni kama Makonda na USA kumludisha ni kumtia doa Mh Raisi kimataifa
 
Bila kutueleza specific accomplishments zake, tutakushauri umkaribishe kwako mnywe naye chai tu. Hivyo ndivyo Mwalimu alivyokuwa anawashauri watu waliokuwa wanasema irrationally kuwa wanawapenda candidates fulani!

Personally ningependa kuona uzoefu wa Masele kimataifa na kitaifa kama former Minister,Mbunge na Vice President wa Bunge la PAP unakuja kutumika nyumbani Tanzania kwenye Dunia ya utandawazi.
Chenge enzi zake za mwalimu zimepita alishaiba akashiba Hana jipya tusimchafue mh Raisi kimataifa, Tulia hatuwezi Kua na mihilimili mikubwa yote inaongozwa na wanawake
Tusiwawekee figisu figisu na wivu Huu ndio wakati wakutumia vijana wenye upeo na exposure Kama Masele akili ikiwa bado inanguvu tusisubili wafike umri wa Chenge ndio tuwatumie
 
Attachments

  • IMG_0922.MP4
    3.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…