CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

Utakuwa mpinzani wa Chenge. Nakumbuka kuna mtu alituhumiwa kuwa fisadi namba moja lakini kesho yake hao hao waliokuwa wanamtuhumu wakampa nafasi ya kuwania kuwa mtumishi namba moja wa nchi! Alipoulizwa wakasema hana shids huyo mtu, ni msafi kama sufi!

Chenge hajachunguzwa wala kuwa convicted kama ulivyosema. Hivi angekuwa fisadi kama unavyosema, mwendazake angemuacha salama?
 
Kwani kuna wakati kwa ujumla watanzania kwa asilimia kubwa walishawahi kuwa serious?
 
Binafs nikimlinganisha Chenge na wengine bora Chenge. Nimeshuhudia akiwa mwenyekiti wa bunge angalau ana ustahimilivu. Halafu kidogo anazingatia kanuni.
 
Chenge kukubali kuwa ana visenti huko nje bila kuelezea ni jinsi gani alizipata tayari ni red flag.

Hebu tuambie ni nani aliyefungwa kwa Ufisadi chini ya Utawala wa Mwendazake. Kipindi chake nchi ilikuwa inaendeshwa kwa propaganda chini ya Bashiru na Polepole.
 
Chadema walivyomteua Lowasa kuwa mgombea wao,walikuwa serious?.
 
Chenge ana siri nyingi japo ya kuwa na skendo nyingi lakini atachaguliwa tu ili aendeleze pale alipoachia. Si wanarudi pole pole.

By the way, hivi ni lini toka tupate uhuru, serikali yetu imekuwa serious? Au unapenda kujidanganya! Ngoja tusubiri wapinzani watakuja na ajenda gani, au ndio hizo zitakuwa ajenda kuelekea uchaguzi mkuu mwaka2025.
 
Sasa kwani kuwa na pesa nje ni kosa? Akili za kipagani hizi
 
Watanzania hawajawahi kuwa serious tokea kupata uhuru
Andrew Chenge ndiye spika ajaye. Sisi Watanzania tuko serious kasoro wewe na familia yako

 
Wewe unamuwaza Change! Wenzio tunawaza je akiteuliwa Mwijaku itakuwaje?!😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…