Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Alimaanisha kwa kuwa katiba husika unayo basi, ungeweka hicho kifungu ama uipandishe katiba nzima pamoja na wasilisho lako. Hayo mengine meengii hayakustahili!Hapo ningekuwa nakutafsiria kama mtoto mdogo asiyejua kusoma.
Mimi pia si mwanachama wa CCM.
Katiba ya CCM ipo mtandaoni, access ya mtandao uliyo nayo wewe ndiyo hiyo hiyo ninayo mimi, sasa kwa nini unataka nikusomee na kukutafsiria?
Hii ni 2025 wazee. Turahisishe mambo yawe mepesi!