Huyu chawa anaongea pumba tuThis is very ridiculous..
Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..!
Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda nini kutekeleza au ingalau waseme, hili tunaweza lakini hili ni gumu kwa sbb 1, 2, 3 nk...?
Mfano; Kuna ugumu gani;
1. Kuendelea kum - detain kiongozi (Tundu Lissu) wa hawa mnaowaomba mkae nao meza mmoja mtatue mgogoro kwa kesi ya bure na ya uongo kabisa? Hivi ktk hili hawa wapuuzi wanaanzia wapi hasa kuwalaumu CHADEMA kwa kukataa kushiriki mazungumzo ktk mazingira ya namna hii..?
2. Na ni kwanini wanaendelea kuwakamata na kuwafungulia viongozi na wafuasi wa CHADEMA kesi za uongo za makosa ya ugaidi ambao haupo halafu wakati huohuo mkitoa wito wa maridhiano? Does it make any sense..?
3. Vipi msuluhishi au mtu wa kati wa kuongoza hayo mazungumzo? Nalo Lina ugumu nyie CCM? Mleteni hata Yoeli Museven awe kati pale🤪
4. Na vipi kuwawajibisha walioua ndugu zetu ingalau wakae pembeni tu katika kipindi hiki.?
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya yake ya Wazazi kimeomba viongozi na Maaskofu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuingilia kati na kutumia nafasi yao ya kidini kuwaombea na kuwashawishi viongozi wa CHADEMA ili waweze kuweka pembeni kile walichokiita ukaidi na kuitikia wito wa kurejea kwenye meza ya maridhiano ya kisiasa.
Wito huo umetolewa Agosti 11, 2026 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wakazi wa Kilosa Mjini, mkoani Morogoro, kufuatia mkutano uliofanyika Agosti 10, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, kati ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Maaskofu wa TEC.
Akipongeza hatua ya Rais Samia na Maaskofu wa Katoliki kukutana na kujadili masuala ya kitaifa, Hapi alisisitiza kuwa TEC imeonyesha mfano wa kuigwa wa ukomavu wa kidemokrasia unaopaswa kufuatwa na vyama vya upinzani:
“Maaskofu TEC, waombeeni CHADEMA. Mungu awasaidie pepo ya ukaidi iwatoke, waende kwenye meza ya maridhiano,” amesema Hapi.
Pamoja na ombi hilo la CCM, msimamo wa sasa wa CHADEMA kupitia viongozi wake wakuu umekuwa ukisisitiza kuwa hawatashiriki katika mchakato wowote wa maridhiano na Serikali au CCM bila kuwepo kwa mpatanishi huru wa kimataifa asiyefungamana na upande wowote, kuachiliwa Mwenyekiti wa chama hicho taifa Tundu Lissu na kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kutokana na matukio ya Oktoba 29, 2026.
Hata hivyo hivi karibuni, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika alisema kuwa viongozi wa dini nchini wanaweza kuongoza mchakato huo kama wapatanishi rasmi wa ndani endapo pande zote zitakubaliana.
Kauli ya Hapi imesukumwa na kikao cha Agosti 10, 2026, ambapo Rais Samia alikutana na Maaskofu wa TEC Ikulu ya Chamwino. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kanisa Katoliki, kujadili amani, mshikamano, na masuala yanayogusa siasa, imani, na maendeleo ya jamii na kukumbusha nafasi ya madhehebu ya dini katika kulea jamii yenye maadili na uwajibikaji.
Source Jambo TV
CCM waache kanisa lifanya kazi ya kanisa.This is very ridiculous..

I strongly agree with you...Bila kupunguza chochote kwa nafasi/hadhi iliyonayo CHADEMA; mimi nitakwambia bla ya shaka yoyote kwamba hao ni waTanzania wanaotafutwa kuingia kwenye maridhiano.
Maana yake ni kwamba, sasa hivi ni CHADEMA ndiyo inayowakilisha matakwa ya waTanzania.
Bila CHADEMA kuhusika kwenye hayo yanayoitwa maridhiano, maana yake ni kuwa waTanzania hawajaridhia upuuzi huo.
Ni kweli ni kwasababu wote wanazungumzia haki, hata rais marehemu ally Hasani Mwinyi alisomeshwa na wakatholiki , Papa kiongozi wawakatholiki amejenga uhusiano mzuri na viongozi wa kiislamu dunianiHuwezi kuitenganisha CHADEMA na Kanisa Katoliki. Analotaka TEC lazima CDM waunge mkono. Hawawezi kutofautiana
CCM wangemtumia sheikh Saidi MwaipopoThis is very ridiculous..
Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..!
Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda nini kutekeleza au ingalau waseme, hili tunaweza lakini hili ni gumu kwa sbb 1, 2, 3 nk...?
Mfano; Kuna ugumu gani;
1. Kuendelea kum - detain kiongozi (Tundu Lissu) wa hawa mnaowaomba mkae nao meza mmoja mtatue mgogoro kwa kesi ya bure na ya uongo kabisa? Hivi ktk hili hawa wapuuzi wanaanzia wapi hasa kuwalaumu CHADEMA kwa kukataa kushiriki mazungumzo ktk mazingira ya namna hii..?
2. Na ni kwanini wanaendelea kuwakamata na kuwafungulia viongozi na wafuasi wa CHADEMA kesi za uongo za makosa ya ugaidi ambao haupo halafu wakati huohuo mkitoa wito wa maridhiano? Does it make any sense..?
3. Vipi msuluhishi au mtu wa kati wa kuongoza hayo mazungumzo? Nalo Lina ugumu nyie CCM? Mleteni hata Yoeli Museven awe kati pale🤪
4. Na vipi kuwawajibisha walioua ndugu zetu ingalau wakae pembeni tu katika kipindi hiki.?
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya yake ya Wazazi kimeomba viongozi na Maaskofu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuingilia kati na kutumia nafasi yao ya kidini kuwaombea na kuwashawishi viongozi wa CHADEMA ili waweze kuweka pembeni kile walichokiita ukaidi na kuitikia wito wa kurejea kwenye meza ya maridhiano ya kisiasa.
Wito huo umetolewa Agosti 11, 2026 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wakazi wa Kilosa Mjini, mkoani Morogoro, kufuatia mkutano uliofanyika Agosti 10, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, kati ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Maaskofu wa TEC.
Akipongeza hatua ya Rais Samia na Maaskofu wa Katoliki kukutana na kujadili masuala ya kitaifa, Hapi alisisitiza kuwa TEC imeonyesha mfano wa kuigwa wa ukomavu wa kidemokrasia unaopaswa kufuatwa na vyama vya upinzani:
“Maaskofu TEC, waombeeni CHADEMA. Mungu awasaidie pepo ya ukaidi iwatoke, waende kwenye meza ya maridhiano,” amesema Hapi.
Pamoja na ombi hilo la CCM, msimamo wa sasa wa CHADEMA kupitia viongozi wake wakuu umekuwa ukisisitiza kuwa hawatashiriki katika mchakato wowote wa maridhiano na Serikali au CCM bila kuwepo kwa mpatanishi huru wa kimataifa asiyefungamana na upande wowote, kuachiliwa Mwenyekiti wa chama hicho taifa Tundu Lissu na kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kutokana na matukio ya Oktoba 29, 2026.
Hata hivyo hivi karibuni, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika alisema kuwa viongozi wa dini nchini wanaweza kuongoza mchakato huo kama wapatanishi rasmi wa ndani endapo pande zote zitakubaliana.
Kauli ya Hapi imesukumwa na kikao cha Agosti 10, 2026, ambapo Rais Samia alikutana na Maaskofu wa TEC Ikulu ya Chamwino. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kanisa Katoliki, kujadili amani, mshikamano, na masuala yanayogusa siasa, imani, na maendeleo ya jamii na kukumbusha nafasi ya madhehebu ya dini katika kulea jamii yenye maadili na uwajibikaji.
Source Jambo TV
Ndio sera za mazezeta wa sisiemu kuwatambua wa Tz Kwa dini zao na sehemu wanazotoka ili waendele kushukilia madaraka kwa nguvuHuwezi kuitenganisha CHADEMA na Kanisa Katoliki. Analotaka TEC lazima CDM waunge mkono. Hawawezi kutofautiana
Na kauli za kuishutumu TEC azifute, huku huwataki TEC, huku pembeni unalia kuwaomba TEC warekebishe mamboKabla ya maridhiano wanatakiwa kukiri walikosea nn
Kwa hiyo kama chadema hawataki extra judicial killings kuna ubaya gani TEC nao wakilaani watu kutekwa na kuuawa?Huwezi kuitenganisha CHADEMA na Kanisa Katoliki. Analotaka TEC lazima CDM waunge mkono. Hawawezi kutofautiana
Hakuna maridhiano bila Katoliki kwa upande wa madhehebu, na chadema kwa upande wa vyama vya siasa. Mengine ni kudanganyana.
Watakuwa hawakupata matokeo waliyotarajia. Catholic bishops can not be blackmailed easily.
..Je, ni sahihi kwa kiongozi wa CCM kuwakejeli Maaskofu wa TEC muda mfupi baada ya mkutano wao na Raisi?
Safi sana, na kanisa Catholic ni moja ya taasisi zinazojitambua sana hapa. Ni sifa kuwa na mtazamo mmoja na TEC.Huwezi kuitenganisha CHADEMA na Kanisa Katoliki. Analotaka TEC lazima CDM waunge mkono. Hawawezi kutofautiana
Ndo huwa nawashangaa waislamu wanaodhani wanaweza kupata nafasi za juu huko CHADEMASafi sana, na kanisa Catholic ni moja ya taasisi zinazojitambua sana hapa. Ni sifa kuwa na mtazamo mmoja na TEC.
Hapana. Sio kama TEC hawataki jambo lazima CDM waungane nao. Sio eti wanalotaka CDM TEC walifateKwa hiyo kama chadema hawataki extra judicial killings kuna ubaya gani TEC nao wakilaani watu kutekwa na kuuawa?
Kwani uongo?Ndio sera za mazezeta wa sisiemu kuwatambua wa Tz Kwa dini zao na sehemu wanazotoka ili waendele kushukilia madaraka kwa nguvu
Huko cdm waisilimu wanafuata vyeo au itikadi? Au waisilamu sifa ya kuwa mahali kwao ni kuwa na vyeo? Mbona kwenye mpira hamusemi wachezaji wa team ya taifa wapangwe kwa vigezo vya dini?Ndo huwa nawashangaa waislamu wanaodhani wanaweza kupata nafasi za juu huko CHADEMA
Afadhali wewe umekubaliana namiNi kweli ni kwasababu wote wanazungumzia haki, hata rais marehemu ally Hasani Mwinyi alisomeshwa na wakatholiki , Papa kiongozi wawakatholiki amejenga uhusiano mzuri na viongozi wa kiislamu duniani