Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Na huu ndio ukweliMm sio mtabiri ila Mama atatoka na aibu kuu juu ya uovu wote na kikwete hataondoka duniani akiwa na tabasamu
Na huu ndio ukweliMm sio mtabiri ila Mama atatoka na aibu kuu juu ya uovu wote na kikwete hataondoka duniani akiwa na tabasamu
Umemaliza Kila kituNi kweli ni kwasababu wote wanazungumzia haki, hata rais marehemu ally Hasani Mwinyi alisomeshwa na wakatholiki , Papa kiongozi wawakatholiki amejenga uhusiano mzuri na viongozi wa kiislamu duniani
Kutofautiana na mtu au taasisi hasa hasa hizi unazo zitaja ni mpaka unapokuwa muovu na inakwenda kinyume na taratibu za ustaarabu, mfano kutumia madaraka yako vibaya, kutumia Polisi kuongea wengine au Kutunga kesi za uongo ili Mradi kumuweka mpinzani wako Kati Hali ya kuondoa utu na Uhuru wake. Na hii kesi ndio imedhihirisha hivyo jinsi Mungu Alivyo mkubwa. Waliorekodi hizo video wanajulikana, walioziweka mtandaoni Wana julikanaKwani uongo?
Lini umewahi kusikia CDM wakitofautiana na TEC au Katoliki?
Sasa kama taasisi ya dini inapinga maovu kama utekaji, wizi wa kura na wa vitu, na mauaji halafu chadema na Mh. Lissu wao wanataka demokrasia isiyo na extra judicial killings na abduction si lazima wataonekana wapo sawa? Kuwa sawa siyo dhambi. Kosa kubwa kwenye jamii ni kuuwa watu kwa kuwalazimisha kuwatawala. Hiyo laana sijui wanaoifanya watachomokaje?Kwani uongo?
Lini umewahi kusikia CDM wakitofautiana na TEC au Katoliki?