CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

Hata siku ya uchaguzi, mabasi, pikipiki,baskeli, ni ruksa kuwasogeza watu karibu na eneo la tukio. Kuna ubaya gani???
 
Bora nikae zangu niangalie kombolela kuliko kwenda kwenye hiyo mikutano ya fisiemu
 
The fall of CCM 1995-2025.
 
Hii inaonesha huko wanakotolewa kuna umaskini wa kunuka. Labda hakuna barabara zinazopitika, au kutokana na watu wa maeneo hayo kuwa maskini, pia hakuna usafiri wa uhakika.
kama hakuna barabara za uhakika hayo magari unayodai yanasomba watu yalipita kwe mfereji wa mbususu ya mazeri wako?
 
Yote hayo ni ili kushindana na mgombea yupi?
 
Una mtindio wa ubongo wewe ,sidhani kama unaelewa maana ya kampeni
Namshukuru mola nilizaliwa rijali pole kama hukujaaliwa kipaji changu kunakopelekea unikasirikie tu
 
Una mtindio wa ubongo wewe ,sidhani kama unaelewa maana ya kampeni
Wewe unaielewa vipi kampeni?
unategemea mwanaCCM kutoka Uganda atafikaje eneo la kampeni bila kutumia vyombo vya usafiri?hii hoja ya kubebwa na malori,mabasi,bodaboda na bajaji ni hoja gani hii??hebu tutumie mbongo zetu kufikiri na kuepuka kuwa bongolala.
 
Kwani wamenunua?? Acha tuuuuu.......10% yutong kwa kununua bus za vyombo.ulinzi.....ndio wamepewa wao......plus matajiri woote walioingiza bus 2024 to date huchangia bus 1 kwenye....chama......am out
 
Kwani wamenunua?? Acha tuuuuu.......10% yutong kwa kununua bus za vyombo.ulinzi.....ndio wamepewa wao......plus matajiri woote walioingiza bus 2024 to date huchangia bus 1 kwenye....chama......am out
Aisee!!!
 
Ni mkakati mzuri....aliebuni bla shaka ni mtu mwenye maono. Hili litawasaidia hata waliopo vijijini kuletwa na kusikia Sera na ahadi za wagombea kwa urahisi. Litakuza uwezo wa kufikia wapiga Kura kwa wingi. Hongera kwa aliyebuni
Baada ya uchaguzi maisha yataendelea kuwa duni tu
 
Mama hapendwi sjui kwanini
Ndiyo chanzo haswa. Nasikia kuna kura ya maoni ilifanywa kwa kitaalam kabisa na dola, ikaonekana asilimia 90 ya watanganyika hawampendi. Ndiyo maana wakaogopa kuwa mikutano yake ya hadhara haitakuwa na watu bila kusomba.
 
samia mitano tena
 
Ccm ni sawa na mwanaume anayependwa na mwanamke kwasabb ya hela tuuu, but nothing else....
 
Hebu weka hayo yanayoaomba watu tuone! Infect (in Mange's voice) mama hapendwi analazimisha! Na safari hii TAML angekuwa anagombea na yuko kwenye kampeni mama yenu angedondosha gagulo jukwaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…