Hata siku ya uchaguzi, mabasi, pikipiki,baskeli, ni ruksa kuwasogeza watu karibu na eneo la tukio. Kuna ubaya gani???CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi watasombwa mara mbilimbili ili kujaza viwanja bila ya kuwa na ya hoja ya kusikiliza.