Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,253
- 10,248
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.
CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.
No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CHADEMA wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania. CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.
Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.
Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.
Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.