PreGE2025 CCM Wamechanganyikiwa, Lissu & Heche kamatieni hapo hapo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sahihi, watatumia kila Mbinu kutaka CDM ishiriki uchaguzi ili ku Justify uhuni wao, CDM ikamatie hapo hapo kwenye no reforms no election
Hao nyumbu walishagomeaga chaguzi na zilifanyika km kawaida
 
Chama ambacho kinategemea kiumbe kama huyu ni cha kuonea huruma tu
 
Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 16
Hizo jumuiya za kimataifa mi sioni kama watafanya chochote au kuzuia chochote katika siasa za nchi hii,historia inajieleza.Believe me,CHADEMA wasiposhiriki uchaguzi CCM na vyama vingine vitashiriki CCM atashinda na hakuna kitakachotokea

Umoja wa mataifa, EU na nchi wanachama, wote wanachokitaka ni uthibitisho wa kuwa wananchi wanataka kutendewa haki kwenye chaguzi.

Uthibitisho wote, ikiwa pamoja na idadi ya waliouawa wakati wa uchaguzi, vimewasilishwa kila ofiai muhimu.

Serikali itapelekewa idadi ya watu wanaotaka mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, na sababu kwa nini wanayataka mabadiliko hayo. Baada ya hapo, Dunia itakuwa ikifuatilia na kuona Serikali inare-spond vipi dhidi ya malalamiko na maombi ya wananchi.

Yapo mataifa yapo tayari kufuta kabisa mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi, kama Serikali itatumia nguvu dhidi ya wananchi walioamua kutumia njia za amani kutafuta haki kwenye uchaguzi.

CCM ikitumia tu nguvu, ndipo itajua kuwa kumbe haijui.
 
Hawatafanya chochote but outcome after election

Mjiandae kujitegemea ki budget ambayo 40% mnawategemea mtaweza?

Lissu ameshakuwa kina kirefu msiti test kwa kuingiza miguu miwili !!

Umoja wa mataifa, EU na nchi wanachama, wote wanachokitaka ni uthibitisho wa kuwa wananchi wanataka kutendewa haki kwenye chaguzi.

Uthibitisho wote, ikiwa pamoja na idadi ya waliouawa wakati wa uchaguzi, vimewasilishwa kila ofiai muhimu.

Serikali itapelekewa idadi ya watu wanaotaka mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, na sababu kwa nini wanayataka mabadiliko hayo. Baada ya hapo, Dunia itakuwa ikifuatilia na kuona Serikali inare-spond vipi dhidi ya malalamiko na maombi ya wananchi.

Yapo mataifa yapo tayari kufuta kabisa mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi, kama Serikali itatumia nguvu dhidi ya wananchi walioamua kutumia njia za amani kutafuta haki kwenye uchaguzi.

CCM ikitumia tu nguvu, ndipo itajua kuwa kumbe haijui.
Serikali ngapi hapa duniani hazifuati platform za kidemokrasia na hatuoni chochote kinachotokea?!Serikali ngapi zinatumia nguvu dhidi ya raia wake na hazifuati demokrasia lkn hatuoni hatua zinazochukuliwa?! Mataifa mangapi hapa Africa yanaongozwa kidikteta na kwa mikono ya jeshi lakn mbn hakuna hatua zozote?!CCM wanaweza kutumia nguvu kuingia madarakani lkn zaidi ya matamko tu hakuna hatua itakayochukuliwa,ingekuwa hivyo maraisi wote waliopindua nchi zao wangewekewa vikwazo hapa Africa kwasababu wamechukua nchi bila ridhaa ya wananchi kama usemavyo ww
 
Michadema a.k..a nyumbu muda wote wanaiwaza ccm tu. Watu wako busy na mambo yao, Hana hata presha na nyie nyumbu......huyooo anajiendea zake Angola
Sio kweli, mbona kuna watu humu kila siku wapo kusifia Chama kijani!We huoni?
 
Serikali ngapi hapa duniani hazifuati platform za kidemokrasia na hatuoni chochote kinachotokea?!Serikali ngapi zinatumia nguvu dhidi ya raia wake na hazifuati demokrasia lkn hatuoni hatua zinazochukuliwa?! Mataifa mangapi hapa Africa yanaongozwa kidikteta na kwa mikono ya jeshi lakn mbn hakuna hatua zozote?!CCM wanaweza kutumia nguvu kuingia madarakani lkn zaidi ya matamko tu hakuna hatua itakayochukuliwa,ingekuwa hivyo maraisi wote waliopindua nchi zao wangewekewa vikwazo hapa Africa kwasababu wamechukua nchi bila ridhaa ya wananchi kama usemavyo ww
Angalia nchi zote zinaziendeshwa kidicteta uchumi wao na angalia nchi zinazofanya chaguzi huru Africa Kama South, Nigeria, Ghana, Kenya, Morocco, Tunisia, Eygpt je tunawazidi uchumi?
 
Reform zikifanyika ccm inaenda kufa kifo cha mende
CCM wamekuwa kama Mzazi anayependa kumuonea Mtoto wake ndani kwa ndani, hataki mtoto apige makelele, ili Majirani wasiskie, kwa kuwa anataka kuonekana ni Mzazi mwema mbele za Majirani na Jamii kwa Ujumla.
Sasa this time Mtoto kawa toto tundu, anajielewa kaamua alianzishe huko ndani kwa ndani CCM anahaha kutafuta kila njia kumzima Mtoto Makelele yake yasisike
 
Michadema a.k..a nyumbu muda wote wanaiwaza ccm tu. Watu wako busy na mambo yao, Hana hata presha na nyie nyumbu......huyooo anajiendea zake Angola
1743983430201.png

Join date Aug 20,2024, Sisi Baba zako tunakupuuza, bado unanukia harufu ya Maziwa ya Mama
 
Chakubanga was right
 
Umekunywa nini we bwege? CCM haiwezi kumwaza nyau km chadomo acheni uzuzu. Ni juzi katibu mkuu na mgombea mwenza aliwaambia kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari yao. Chadomo anamiliki rasilimali gani mpk mzungu aiwaze? Nyie ni manyumbu acheni kutafuta attention hakuna mwenye muda na nyie
Hv hizo akili zenu mnaziachaga wapi, ni mara ngapi wamegoma kushiriki uchaguzi? Mara zote chaguzi zilifanyika
1743983897972.png

Join date March 11, 2025, too young kid, you're still in that age where you think life is all about TikTok and Snapchat? How adorable
 
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.

CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.

CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.

No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CHADEMA wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania. CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.

Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.

Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.

Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Bange
 
View attachment 3295427
Join date Aug 20,2024, Sisi Baba zako tunakupuuza, bado unanukia harufu ya Maziwa ya Mama
We kweli nyumbu usiye na mawazo......unaenda tu kama mzoga. Kujoin tarehe hiyo Haina maana kuwa ndo kuanza kuifuatilia jf; vp kama nilikuwa nipo humu bila kuwa bila kuwa mwanachama?!!! Minyumbu, dah!
 
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.

CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.

CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.

No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CHADEMA wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania. CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.

Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.

Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.

Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Hii tendency ya chama kikuu cha upinzani kuviona vyama vingine vya upinzani kuwa si lolote si chochote ni strategic mistake na imekuwa ikikigharimu kila chama kikuu cha upinzani.

Kipindi kama hiki ni kipindi cha kuwaunganisha wapinzani, sio kuwagawa. CHADEMA pekee yenu hamuwezi. Every opposition voice counts, bila kujali inatoka chama gani! Actually, mkiweza kuwaunganisha wapinzani, mtakuwa mmemaliza kazi more efficiently!
 
Back
Top Bottom