Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
People invest to eliminate ignorance, but you invest in ignorance.View attachment 3295428
Another Kindergaten , so young, you probably think dial-up internet is a myth.
People invest to eliminate ignorance, but you invest in ignorance.View attachment 3295428
Another Kindergaten , so young, you probably think dial-up internet is a myth.
Hivi wewe ni mtanzania halisi? Una ndugu na jamaa waliopo vijijini? Unaonaje hali zao za maisha? Unafurahia hali zao za umasikini?Umekunywa nini we bwege? CCM haiwezi kumwaza nyau km chadomo acheni uzuzu. Ni juzi katibu mkuu na mgombea mwenza aliwaambia kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari yao. Chadomo anamiliki rasilimali gani mpk mzungu aiwaze? Nyie ni manyumbu acheni kutafuta attention hakuna mwenye muda na nyie
Hv hizo akili zenu mnaziachaga wapi, ni mara ngapi wamegoma kushiriki uchaguzi? Mara zote chaguzi zilifanyika
Mkuu tatizo hivyo vyama havitaki na vimeshawekwa mfukoni na ccm, si kulikuwwpo na UKAWA ilifika wapi? Walimtumia Prof Lipumba kudhorotesha zile juhudiHii tendency ya chama kikuu cha upinzani kuviona vyama vingine vya upinzani kuwa si lolote si chochote ni strategic mistake na imekuwa ikikigharimu kila chama kikuu cha upinzani.
Kipindi kama hiki ni kipindi cha kuwaunganisha wapinzani, sio kuwagawa. CHADEMA pekee yenu hamuwezi. Every opposition voice counts, bila kujali inatoka chama gani! Actually, mkiweza kuwaunganisha wapinzani, mtakuwa mmemaliza kazi more efficiently!
Tafuta nyuzi humu za wanaccm wanaoizungumzia Chadema na chadema wanaoizungumzia ccm ni zipi nyingi. Hapa siongei za ushirikishwaji fahamu kichama.Michadema a.k..a nyumbu muda wote wanaiwaza ccm tu. Watu wako busy na mambo yao, Hana hata presha na nyie nyumbu......huyooo anajiendea zake Angola
OkTafuta nyuzi humu za wanaccm wanaoizungumzia Chadema na chadema wanaoizungumzia ccm ni zipi nyingi. Hapa siongei za ushirikishwaji fahamu kichama.