Hawatafanya chochote but outcome after electionHizo jumuiya za kimataifa mi sioni kama watafanya chochote au kuzuia chochote katika siasa za nchi hii,historia inajieleza.Believe me,CHADEMA wasiposhiriki uchaguzi CCM na vyama vingine vitashiriki CCM atashinda na hakuna kitakachotokea
Unafikiri kwanini pamoja na uhuni wa Jiwe kwenye uchaguzi wa 2020, baadae aka force kuwapa ubunge haramu wale covid-9 ?, kwanini asingefanya tu kuwapa CHAUMA ?Hizo jumuiya za kimataifa mi sioni kama watafanya chochote au kuzuia chochote katika siasa za nchi hii,historia inajieleza.Believe me,CHADEMA wasiposhiriki uchaguzi CCM na vyama vingine vitashiriki CCM atashinda na hakuna kitakachotokea
Tawi la CCM hiloMbona watu ndani ya chadema ndo wamechanganyikiwa wengine wanajiita G55
Saw kabisaNi Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.
CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.
CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.
No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CDM wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania.
CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.
Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.
Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.
Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.
CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.
CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.
No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CDM wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania.
CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.
Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.
Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.
Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Hakika no reforms no electionNi Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.
CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.
CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.
No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CDM wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania.
CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.
Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.
Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.
Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Hao ni mamluki wale waupande wa nusu mkate na asali Kwa ufadhili wa saa100 na abdulMbona watu ndani ya chadema ndo wamechanganyikiwa wengine wanajiita G55
Kwa hiyo mtu mwenye presha ndo haendi kwenye shughuli zake? Akili za kichawa hizi hazijawahi kuwa sawaMichadema a.k..a nyumbu muda wote wanaiwaza ccm tu. Watu wako busy na mambo yao, Hana hata presha na nyie nyumbu......huyooo anajiendea zake Angola
Hao G55 ni zao la Abdul na mamayakeMbona watu ndani ya chadema ndo wamechanganyikiwa wengine wanajiita G55
Umekunywa nini we bwege? CCM haiwezi kumwaza nyau km chadomo acheni uzuzu. Ni juzi katibu mkuu na mgombea mwenza aliwaambia kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari yao. Chadomo anamiliki rasilimali gani mpk mzungu aiwaze? Nyie ni manyumbu acheni kutafuta attention hakuna mwenye muda na nyieNi Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM ndio chama kikuu cha Upinzani.
CCM na Serikali yake inatambua kuwa bila CDM kushiriki Uchaguzi wanaenda kupata Kibano kikubwa sana kutoka kwenye Jumuiya ya Ki Mataifa.
CCM wanajua kuwa bila CDM hawawezi kufanya uchaguzi, CCM wanataka kuitumia CDM kwenye uchaguzi ku Justify uhuni wake mbele za Jumuiya ya Ki Maitafa kuwa kumefanyika uchaguzi wa Uhuru na Haki. CCM hawataki kupata Pressure kutoka Jumuiya za Ki Mataifa.
No Reforms no Election imewapagawisha CCM, walidhani CDM wanatania, wameona muitikio wa wa Tanzania.
CCM wame sense a Real threat, Kwa sasa CCM wako busy kupandikiza watu wa ndani ya CDM kushinikiza Chama kushiriki uchaguzi.
Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu wako John Heche wala msihofu, hii ajenda ya No reforms no election kwa sasa ni ajenda ya Wananchi.
Imepokelewa vizuri sana na imeleeweka, inazidi kueleweka, puzeeni Kima yeyote ambaye atajitokeza hadharani kwenda kinyume na No Reforms, No Election. Hata akiwa ni Freeman, Mpuzeeni, kwa sasa hiki chama ni cha wananchi, ni zaidi ya Kiongozi yeyote.
Shikilieni hapo hapo, Nyani anaenda kutema Bungo very soon.
Hv hizo akili zenu mnaziachaga wapi, ni mara ngapi wamegoma kushiriki uchaguzi? Mara zote chaguzi zilifanyikaHuo ndio ukweli tupu.
Bila CDM, CCM Hana justification yoyote ya Uchaguzi