PreGE2025 CCM Wamechanganyikiwa, Lissu & Heche kamatieni hapo hapo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi wewe ni mtanzania halisi? Una ndugu na jamaa waliopo vijijini? Unaonaje hali zao za maisha? Unafurahia hali zao za umasikini?

Unajua waliosababisha watanzania kuwa na hali ngumu ya maisha ilihali Nchi ina rasilimali madini, gesi, mafuta, mazao ya biashara na vyakula, n.k? Unajua wanaotumia fedha za walipa kodi vibaya na hivyo kuwakosesha wananchi maendeleo ni akina nani?? Unajisikiaje pale unapotetea uovu kwasababu wewe ni mnufaika? Unayo hata chembe ya huruma kwa watanzania wenzako???
 
Mkuu tatizo hivyo vyama havitaki na vimeshawekwa mfukoni na ccm, si kulikuwwpo na UKAWA ilifika wapi? Walimtumia Prof Lipumba kudhorotesha zile juhudi
 
Michadema a.k..a nyumbu muda wote wanaiwaza ccm tu. Watu wako busy na mambo yao, Hana hata presha na nyie nyumbu......huyooo anajiendea zake Angola
Tafuta nyuzi humu za wanaccm wanaoizungumzia Chadema na chadema wanaoizungumzia ccm ni zipi nyingi. Hapa siongei za ushirikishwaji fahamu kichama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…