Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
usiwaseme watu sema we uko bize na chadomo wanavyoparuana. Kile siyo chama ni kikundi cha wahuni, hakuna nidhamu, hakuna mkubwa, wote kambale. CCM kuna nidhamu ya hali ya juu sana huwezi utovu wa nidhamu k, wa chadomo
Hawa nyumbu ni mburura kabisa kumbe, weupeeeee kuvichwa. Nimewajua kipindi hiki. Kistratejia ccm Iko mbaaaaaali mno kutoka walipo hawa. Kwa Hali ilivyo, nauona ushindi rahisi wa 97% wa Samia hapo mwezi wa 10
 
Hawa nyumbu ni mburura kabisa kumbe, weupeeeee kuvichwa. Nimewajua kipindi hiki. Kistratejia ccm Iko mbaaaaaali mno kutoka walipo hawa. Kwa Hali ilivyo, nauona ushindi rahisi wa 97% wa Samia hapo mwezi wa 10
Ule ushindi wa Nape na yule aliyekuwa mkuu wa mkoa longido au ule aliosema Januari hadi akaleftishwa?
 
Siku ambayo dola ikaamua kujitenga na hiki chama basi ndio utakua mwisho wa Safari yao wasome alama za nyakati inachukua main stream media zote wasanii wote A class kuimba na kuigiza media personal wakubwa wote still CDM na mapungufu yao wana trend hii tunaita ufunuo wa TAL naamini akikamata kile kiti pale akajenga team yake jumuishi na kwakua anauungwaji mkono na makundi yote na wanataalumu basi 2025 inaweza ikawa ngumu sana kwa vegetables huu ni ufunuo hii ni kazi yakitume
 
Utapata watoto wa st john's university ukitaka ulanzi wewe tu chapati za jero jero chipsi za buku 2 humalizi mkuu. Tatizo Biesta mpinzani ana allergy na CCM
Hilo jabo dogooo sanaaa mkuu wangu.. nataka hiyo ya elfu tatu.. itapendezaa
 
Chadema wanavuana nguo.
Watanzania wanawashangaa viongozi wanavyo aibishana.
 
Mimi mtu akiwa ccm namuona Kama juha. Au mnaonaje wajameni!
 
Ccm daima
 
Mbona mbowe amekimbia mdahalo 😂 au naye ameenda Dodoma
 
Ila chadema wakati huu wamechanga karata vizuri sana
 
CCM ilianza na TANU na ASP miaka mingi kabla Lissu hajazaliwa.

Ni chama kikubwa sana chenye mikakati misafi na michafu chenye mbinu safi na chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…