Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lodge gani ina "shoti taimu" ndugu!!???
Maambukizi ya VVU ni upumbavu na ujuha wa mtu.
Condoms zipo, kwa nini muende pekupeku!!??
Mimi lodges zangu kila chumba naweka paketi mbili za condom tatu tatu kila siku.
 
Muda si mrefu nimetoka kusikia tangazo huku nilipo eti watu hiyo kesho waende eneo fulani wataweka TV kubwa watu wafutilie. tangazo kabisa linapita barabarani aisee CCM jamani!
 
achana na habari za VVU mkuu
Siwezi kuachana nazo maana nimewahi poteza binti kwa kujiua baada ya kugundua ameambukizwa VVU, na kosa ni la sisi wazazi kutokumueleza ukweli kuhusu ngono, mapenzi, mahusiano na magonjwa ya ngono.
 
Siwezi kuachana nazo maana nimewahi poteza binti kwa kujiua baada ya kugundua ameambukizwa VVU, na kosa ni la sisi wazazi kutokumueleza ukweli kuhusu ngono, mapenzi, mahusiano na magonjwa ya ngono.
Sad! Ukimwi upo. Ila watu wameamua kupuuza elimu ya afya na kujikinga na maambukizi
 
Lodge gani ina "shoti taimu" ndugu!!???
Maambukizi ya VVU ni upumbavu na ujuha wa mtu.
Condoms zipo, kwa nini muende pekupeku!!??
Mimi lodges zangu kila chumba naweka paketi mbili za condom tatu tatu kila siku.
3tatu'nini!
Haya buana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…