Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mdomo wa binadamu haujaumbiwa kusema positives and negatives kwa muda mmoja.

Hauwezi kuzungumzia biashara ya Lodge wakati huo huo ukaongelea maambukizi ya Vvu vinavyosababishwa kupitia biashara yako hiyo ya 'gesti'!

Kwa hiyo u ataka kusema watu wasifanye uasherati kuepuka Vvu, ili kipato cha 'shoo taimu' unachovuna likauke?
Lodge gani ina "shoti taimu" ndugu!!???
Maambukizi ya VVU ni upumbavu na ujuha wa mtu.
Condoms zipo, kwa nini muende pekupeku!!??
Mimi lodges zangu kila chumba naweka paketi mbili za condom tatu tatu kila siku.
 
Muda si mrefu nimetoka kusikia tangazo huku nilipo eti watu hiyo kesho waende eneo fulani wataweka TV kubwa watu wafutilie. tangazo kabisa linapita barabarani aisee CCM jamani!
 
Siwezi kuachana nazo maana nimewahi poteza binti kwa kujiua baada ya kugundua ameambukizwa VVU, na kosa ni la sisi wazazi kutokumueleza ukweli kuhusu ngono, mapenzi, mahusiano na magonjwa ya ngono.
Sad! Ukimwi upo. Ila watu wameamua kupuuza elimu ya afya na kujikinga na maambukizi
 
Lodge gani ina "shoti taimu" ndugu!!???
Maambukizi ya VVU ni upumbavu na ujuha wa mtu.
Condoms zipo, kwa nini muende pekupeku!!??
Mimi lodges zangu kila chumba naweka paketi mbili za condom tatu tatu kila siku.
3tatu'nini!
Haya buana.
 
Back
Top Bottom