CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Habari hizi za makabila zitaturudisha nyuma katika harakati zetu za kuutafuta 'ukombozi wa kweli.'Tz ipo kwenye mikono ya madhalimu na walafi.Jitihadaha zetu ni kupambana kuwang'oa hawa wanaokula bila ya kunawa na kufuta mikono badala kuangalia ukabila.
 
Tangu nchi hii ipate uhuru haijawahi kupata kiongozi bora kama mama samia. Mama samia anafahamu kuwa watanzania, afrika na dunia wanampima yeye kama Rais wa tanzania, kama rais kutoka Zanzibar, na kama Rais mwanamke. Hawezi kuwa hovyohovyo kama tulivyozoea. Hata ukisikia kelele za bandari ni sehemu ya ubora wa Rais Samia. Ila kanda ya ziwa inaamtisha sana kutokana na JPM na masalia yake.
 
HEBU ONGEA KWA TAKWUMU UELEWEKE, KILIMANJARO KULIKUA NA KM NGAPI ZA LAMI NA USUKUMANI ZILIKUA NGAPI, MBONA JK ALIJENGA BARABARA NYINGI SANA HUKU.
Punguza makasiriko na huna hoja na hujui maswala ya uchumi, mikoa inyoongoza kwa kuchangia pato la taifa ni hii most of them ni kanda ya ziwa na bado hawapati kile wanachostahili kulingana na rasilimali, mapato ghafi n.k👇👇👇
Screenshot_20231114-195426_1699981057427.jpg
Screenshot_20231114-195440_1699980999464.jpg
Screenshot_20231114-195508_1699980959810.jpg
 
Back
Top Bottom