Wasukuma mali zao ni zipi, mkabila wewe. Kwani dhahabu iko usukumani tu. Acha ukabila wa kishamba.Kaskazini ndio watawala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma mali zao ni zipi, mkabila wewe. Kwani dhahabu iko usukumani tu. Acha ukabila wa kishamba.Kaskazini ndio watawala?
Usiseme wa kanda ya ziwa wanalalamika sema wa Chato...hilo hawataki kulisema ndugu zetu wa kanda ya ziwa.
..Samuel Sitta alikuwa Spika akaishia kujenga ofisi ya kifahari. Je, hilo lilikuwa hitaji la wapigakura wake?
..Magufuli naye kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato wakati wa Mwanza haujakamiliki. Je, Chato wanahitaji huo uwanja?
..Sasa Magufuli ameondoka ndugu zetu wa kanda ya ziwa wanalaumu jamii nyingine kwa kuwakwamisha.
watu wote waliokuwa wamegombana na JPM waligeuka lulu (waramba asali) ghafla.Unajua baada ya kufariki magufuli kosa kubwa Sana lilifanyika ndani ya ccm wenyewe kwa kuanzisha mashambulizi ya wazi kabisa kwenye media kwa kumtukana magufuli,kubagadha, kumkejeli marehemu,Mara eti wazuri hawafi na kuanzisha majina ya ajabu eti SUKUMA GANG,hadharani bila ya ccm kukemeana wenyewe ndani ya chama Mambo haya yaliwauma mno wasukuma,Sasa matusi na kejeli hizo ziliwaamsha Sana wasukuma na kuwaleta pamoja,matusi na slogani hizo zilijidhihirisha zaidi pale alipofariki membe ,ambapo nao walikejeli "kumbe na wazuri nao wanakufa!" Haijachukua muda Sasa mnataka kura zao mnafanyaje,wahenga walinena mchimba kisima huingia mwenyewe,Mimi niseme ni ushamba wa siasa za ccm wa kuropoka matusi mazito Kama hayo bila kupima athari zake mbeleni,Ina maana chama na serikali vilikosa watu wenye busara wa kuonya na kukemea kuwa Mambo hayo ya kutukana marehemu Yana impact Hadi kwa chama na serikali mbeleni???? CCM wamelichonga dude hili la ukanda lazima liwatafune Sana,hasa akitokea mpinzani mwenye influence Kama alivyokuwa lowasa itakuwa ni hatari hasa kwa ccm
Watu wengi walipohoji kwanini umeme unakatika sana siku hizi kuliko wakati wa JPM majibu yao yalikuwa hayaaminiki kwa wasukuma, pro-JPM ndani ya CCM na wapinzani akina mbowe.Usilete ukabila. Biteko hana kabisa influence labda abebwe ila kinachombeba mtu ni uthubutu wa kusomamia falsafa ya Dkt Magufuli. Hivyo haijalishi uwe msukuma au mchaga, yeyote anayebeba hayo maono atapendwa. Ndiyo maana tuliwaambia Dkt Magufuli siyo mtu bali falsafa
Nenda kaangalie NBS sensa 2022 (Chukua Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita, Shinyanga, Tabora, Kigoma na Katavi) Mzee hawa wanapiga kura moja.Hizo data za wapi? Mnajiandikia huko kwenye mitandao alafu unaleta humu kama proof??
Hizo ni takwimu za kupika tu hazina ukweli wowote
| Name | Abbr. | Population |
| Dar es Salaam | DAR | 5,383,728 |
| Mwanza | MWA | 3,699,872 |
| Tabora | TAB | 3,391,679 |
| Morogoro | MOR | 3,197,104 |
| Dodoma | DOD | 3,085,625 |
| Kagera | KAG | 2,989,299 |
| Geita | GEI | 2,977,608 |
| Tanga | TAN | 2,615,597 |
| Kigoma | KIG | 2,470,967 |
| Mara | MAR | 2,372,015 |
| Arusha | ARU | 2,356,255 |
| Mbeya | MBE | 2,343,754 |
| Shinyanga | SHI | 2,241,299 |
| Simiyu | SIM | 2,140,497 |
| Pwani | PWA | 2,024,947 |
| Singida | SIN | 2,008,058 |
| Manyara | MAY | 1,892,502 |
KINACHOTAWALA NI MAARIFA NA UCHUMI TU, HATA KAMA MUWE WENGI KAMA SIAFU MTATUMIKA TU.How?.
1. Wasukuma ndio walio wengi
2. Kanda ya Ziwa ndio Kanda determinant
3. Wasukuma ni wachapakazi majembekazi
P
HEBU ONGEA KWA TAKWUMU UELEWEKE, KILIMANJARO KULIKUA NA KM NGAPI ZA LAMI NA USUKUMANI ZILIKUA NGAPI, MBONA JK ALIJENGA BARABARA NYINGI SANA HUKU.Misitu yao minene ya mininga, miyombo na mivule alisombwa na wajanja kutoka kaskazini na wao kuachwa ndani ya matembe. Wahuni walipeleka umeme hadi kwenye mashamba yao ya migomba huku wasukuma wakiachwa gizani na mashimo yao ya almasi na dhahabu. JPM alipokuja alisimamisha miradi yote kule kwa "wahuni" ili arekebishe kwanza adhali za ukoloni na awamu 4 zilizopita
Inatia hasira sana, JPM alikuwa mbunge na waziri wa ujenzi kwa miaka mingi, alikuwa akitumwa kujenga barabara na madaraja kwenye mikoa, wilaya, tarafa na vijiji vya watu wengine lakini kwao kukiwa vumbi tupu. Akagundua kuwa factor kubwa ni nafasi ya urais, umakamo wa rais au uwaziri mkuu. Mzee Mkapa alipompatia kandarasi ya kuwa Rais alijaribu kufanya mambo mengi sana kwa muda mfupi sana kule kwao kana kwamba alijua hatakuwa na maisha marefu. Tabia hii ya watu kutumia nafasi zao kujiletea maendeleo yao, ya familia, kabila na kanda walikotoka ndiyo itaibua na kuimarisha siasa za ukabila na ukanda.
[emoji1787] mbona Kanda ya Ziwa ndiyo ina wasomi (wenye maarifa) wengi! Utajiri wa viongozi na wafanyabiashara wakubwa nchini unatoka Kanda ya Ziwa kwenye 75% ya madini ya nchi.KINACHOTAWALA NI MAARIFA NA UCHUMI TU, HATA KAMA MUWE WENGI KAMA SIAFU MTATUMIKA TU.
HALAFU HILI LA KUZALIANA SANA NI KUWABEBESHA WENGINE MIZIGO WASIOSTAHILI.
Kwa hiyo katavi ni ya wasukuma? Mwanza wote ni wasukuma?Kagera ni wasukuma? Mara ni wasukuma?Nenda kaangalie NBS sensa 2022 (Chukua Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita, Shinyanga, Tabora, Kigoma na Katavi) Mzee hawa wanapiga kura moja.
Name Abbr. Population Dar es Salaam DAR 5,383,728Mwanza MWA 3,699,872Tabora TAB 3,391,679Morogoro MOR 3,197,104Dodoma DOD 3,085,625Kagera KAG 2,989,299Geita GEI 2,977,608Tanga TAN 2,615,597Kigoma KIG 2,470,967Mara MAR 2,372,015Arusha ARU 2,356,255Mbeya MBE 2,343,754Shinyanga SHI 2,241,299Simiyu SIM 2,140,497Pwani PWA 2,024,947Singida SIN 2,008,058Manyara MAY 1,892,502
Wingi wa watu una uhusiano wa moja kwa moja na uchumi, usiongee kama huelewi. Watu wengi wana matumizi mengi na makubwa, wananunua zaidi na wanalipa kodi zaidi. Pamba na tumbaku inatoka kwao, ngozi na ng'ombe vinatoka kwao, Almasi inatoka kwao, asali inatoka kwao, almasi inatoka kwao, sato na sangala vinatoka kwao, mbao za mininga zinatoka Tabora.Maelezo yako yanipa nguvu hoja ya utawala wa majimbo, ili kila jimbo lifaidike na rasilimali za eneo husika, maana ni kana kwamba wasukuma wanataka kuwanyanganya tonge wengine kwa sababu tu ya wingi wao na sio rasilimali walizo nazo.
hebu weka orodha ya mikoa kumi inayochangia uchumi tupate picha kama wasukuma wana mchango mkubwa kama unavyotaka kutuaminisha
Wingi unaweza kuwa hoja kisiasa lakini kiuchumi sio muhimu
Wewe unazungumzia ukanda mkuu.Mbuga kubwa, maarufu na inayoongoza kwa kuingiza mapato, ipo mkoa gani? Hii mbuga ya serengeti nyinyi watu wabinafsi wa kaskazini mlishajimilikisha mkizani ipo upande wenu.
Kaskazini Kuna shule za msingi, secondary na vyuo vingapi? Je, mlikuwa mkigharamia wenyewe mishahara ya walimu na mitihani ya wanafunzi wetu? Watoto wakisoma wengi watapata ajira wengi na kupata mishahara wengi pia. Ukipata mshahara ni rahisi kukopa kwenye mabenki na kusomesha watoto zaidi na kutengeneza positive feedback. Ukiwa na nguvu za kiuchumi ni rahisi kupata mtaji na fedha za kupora ardhi za wengine.Wewe unazungumzia ukanda mkuu.
Mimi nazungumzia uchumi na rasilimali watu SIO Wingi Wa wapumbavu Kupiga kura Kwa kupumbazwa na Viungo Vya albino .
Hata aina ya madiwani na Wabunge mnaowachagua mnawachagua kushirikiana halafu unategemea maendeleo.Hakuna MTU Wa Kaskazini aliyeiba pesa za Vyama Vya ushirika Zaida ya wasukuma wenzenu.
Angalia Kama Kaskazini kuna Mbunge aliyetajirikia madarakani kama Kanda ya ziwa . Wabunge Wa ukanda Wa wasukuma ni matrionea. Wapo kiamaslahi.
Kila Idara msukuma akipata Nafasi anajilimbikizia Mali na Wizi Huku wasukuma wenzake wakibaki Kuwapigia magoti.
Angalia aina ya wabunge wenu utapata jibu.
Kaskazini wabunge ni watu Wa kawaida sana na wanaheshimika Kwa KAZI na mchango wao kwenye maendeleo Yao.
Wabunge Wa Kaskazini hawajawahi kusikika kwenye maskendo ya ufisadi kama Huo ukanda.
Ni wapumbavu tu wanaozumgumzia maendeleo ya Tanzania kikabila Badala ya kuidai Serikali isimamie maendeleo Kwa kutumia wawekezaji Wa ndani.
Tumeoana ukanda Wenye wabunge wengi ukishangilia Bandari za nchi kuuzwa na Maeneo yenye Madini yaliuzwa wakiwa wanakenua meno na kuikumbatia CCM Kwa manufaa ya wachawi Wachache .
Kaskazini huwezi kuuza Mlima Kilimanjaro ukategemea kupata kura . Wanahama chama na kuiadhibu CCM kuanzia Serikali za mitaa mpaka Urais wanapata kura kama namba za viatu.
Wabunge wenu wanahongwa madaraka na fedha halafu utajiri unasombwa na Wazungu mnabaki kuwalalamikia watanzania wenzenu.
Hako kabarabara kanakopita kuanzia DSM kwenda Arusha kenye Km zisizofika Hata 700 ndio unaweza ukasema kametumia matrilioni ya Dhahabu ,Samaki na pamba na almasi zinazosombwa kwa mandege kwenda Ulaya .
Chuki mbaya kama ya Lusifer.
Tuletee takwimu zisizopikwa.Hizo data za wapi? Mnajiandikia huko kwenye mitandao alafu unaleta humu kama proof??
Hizo ni takwimu za kupika tu hazina ukweli wowote
Sio kweli, alikua mnyarwanda,. Rais Magufuli (Msukuma)
Nafaka ya mahindi ni mbaya sana kwa akili na busara. Epuka kiongozi ambae ametoka kwenye jamii inayokula nafaka ya mahindi kama chakula Chao kikuu asubihi, mchana na jioni.[emoji1787] mbona Kanda ya Ziwa ndiyo ina wasomi (wenye maarifa) wengi! Utajiri wa viongozi na wafanyabiashara wakubwa nchini unatoka Kanda ya Ziwa kwenye 75% ya madini ya nchi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Upo wrong,kuna makabila yanaangukia kwenye mikoa miwili.Huwa najiulizaga kwanini huyo aliyegawanya mikoa hii alizingatia kigezo cha ukabaila?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
shida kubwa kuliko yote ni madili (status quo) ya watu kuvurumishwa na awamu ya sita. Watu hawaelewi itakuwaje. Lazima tuseme ukweli wizi ni mkubwa sana bandarini kwetu, mtu yuko tayari afukuzwe kazi akiwa ameshaiba vyakutosha. Mkuu wa bandari anateuliwa kwa faida ya aliyemteua pia. Hata askari akipangiwa lindo la bandarani anapiga magoti kumshukuru Mungu wake. Wacha tujaribu kukodisha ili napo tuone itafananajeKuna mdada hapo ikulu anatuharibia Tanganyika yetu yeye anajua ni wapi atakimbilia, tuwe makini na mdada huyu!