Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Waswahili ndio kabila gani mkuu?Unataka Waswahili, Wazaramo, Wazigua, Wadigo, Wamakonde n.k nao waanze kujivuna na bandari zao??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili ndio kabila gani mkuu?Unataka Waswahili, Wazaramo, Wazigua, Wadigo, Wamakonde n.k nao waanze kujivuna na bandari zao??
Mkuu kavulata , usemayo ni kweli kabisa, Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Wasukuma walipigwa ganzi (nusu kaputi) na wakoloni, kisha na Nyerere, walikuwa wakitumia nguvu nyingi sana kulima, kuchimba madini na kufuga ng'ombe lakini barabara zao hazilingani na nguvu na utajiri wa rasilimali zao, walinyimwa elimu makusudi ili wasifike kule juu kabisa, na hakuna msukuma aliwahi kuwa hata waziri Mkuu pamoja na kuwa na idadi kubwa ya watu.
Watanzania wanataka maendeleo, haki na utuWatanzania wanataka kiongozi mwenye falsafa ya magufuli!!!!!!!! kumbe! baaaaaaaasi mnaotaka uongozi anze kuigiza falsafa hiyo kazi kwenu
UnajichanganyaMkuu kavulata , usemayo ni kweli kabisa, Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
Hivyo Kanda ya Ziwa ndio kanda determinant kwa urais wa JMT na ndipo roho ya CCM ilipolalia!. Ikitokea CCM ikachokwa Kanda ya Ziwa kama Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! then huu mbuyu chali!.
Kufuatia umuhimu wa Kanda hii, JPM aliipatia preferential treatment kama Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!
na Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Ila pia Wasukuma ni wachapa kazi na majembe kazi ya ukweli Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... just imagine usiku watu huwa wako bize na yale ya usiku, Mwamba yule yuko na ma file mpaka chumbani!.
Wasukuma Oyeee!.
P
Watapambana na Tribal Profiling ambayo imenyamazisha Wajaluo Kenya na Tz na pia Hutu na Twa Rwanda na sasa Acholi Uganda.Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Wakinga wanapata maendeleo kwa kutumia kinga!.8. Jamii mbalimbali hapa nchini zinapaswa kuiga mfano mzuri wa WAKINGA. Ni namna gani Wakinga wamepats maendeleo makubwa bila kutegemea au kulilia kubebwa na wakubwa serikalini.
How?.Unajichanganya
Utajiri mkubwa kuliko wote ni wananchi wenye uelewa na akili nzuri.1. Hakuna kabila jamii au kanda iliyopendelewa na mkoloni.
2. Mkoloni alijenga miundombinu kwenda ktk maeneo mbalimbali ili kufuata RASILIMALI na sio kwasababu aliyapenda makabila ya maeneo hayo.
3. Dhana kwamba kabila fulani jamii au kanda iliyopendelewa sio sahihi. Kila jamii hapa nchini ilinyonywa na kunyanyaswa na wakoloni.
4. Maeneo mengine ukiacha kanda ya ziwa nayo yana utajiri wa rasilimali, mazao ya biashara, ardhi yenye rutuba, na watu wanaochapa kazi.
Kwa mfano kanda ya kaskazini kuna KAHAWA ambayo kwa miongo kadhaa ilikuwa na bei kubwa ktk soko la kimataifa na zao tegemewa kwa kuiingizia hazina yetu mapato. Pia kuna utalii, na madini, mfano Tanzanite.
5. Wamisionari walijenga mashule ili waweze kuwabadili wenyeji kiimani. Huo haikuwa upendeleo bali ni hila ya kuzitawala na kuzinyonya jamii hizo. Sio sahihi kusema jamii au kanda fulani hapa Tanganyika ilipendelewa na wakoloni.
6. Serikali ya baada ya uhuru ilikandamiza maeneo yote hakuna jamii iliyoachwa salama. Kwa mfano, VYAMA VYA USHIRIKA vilivunjwa nchi nzima. Nyanza cooperative ilipovunjwa, vyama vingine vya ushirika navyo vilivunjwa nchi nzima
7. Tatizo la kanda ya ziwa ni kuwa na viongozi WABINAFSI wasiosimamia maslahi ya wananchi wao.
8. Jamii mbalimbali hapa nchini zinapaswa kuiga mfano mzuri wa WAKINGA. Ni namna gani Wakinga wamepats maendeleo makubwa bila kutegemea au kulilia kubebwa na wakubwa serikalini.
Aise umeamua kuongea ukweli uliojificha muda mrefu 😆 😆Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
😂😂😂😂Wewe una laana ya kutumika kinyume cha maumbile
Wasukuma kosa lao lilikuwa ni kuzubaaWasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Kuwaita sukuma gang kunawaunganisha zaidi na kuwafanya wajione wana jukumu la kumuunga mkono sukuma gang mwenzao regardless anafaa au hafai. Suluhisho la hili ni kuacha kugeneralize matendo ya mtu mmoja mmoja na kabila.Magufuli alipiga kampeni za ukabila na kweli akachaguliwa na wasukuma kwa sababu tu ya ukabila.
Alikuwa anaongea mpk kisukuma kwenye mikutano wakati Kuna lugha ya taifa.
Sio mbaya kuwapekekea mendeleo sababu nao ni watanzania lakini huko kudeka kwao sio poa sababu nchi ni ya watu wote.
Nimependa tu hiyo no. 7.1. Hakuna kabila jamii au kanda iliyopendelewa na mkoloni.
2. Mkoloni alijenga miundombinu kwenda ktk maeneo mbalimbali ili kufuata RASILIMALI na sio kwasababu aliyapenda makabila ya maeneo hayo.
3. Dhana kwamba kabila fulani jamii au kanda iliyopendelewa sio sahihi. Kila jamii hapa nchini ilinyonywa na kunyanyaswa na wakoloni.
4. Maeneo mengine ukiacha kanda ya ziwa nayo yana utajiri wa rasilimali, mazao ya biashara, ardhi yenye rutuba, na watu wanaochapa kazi.
Kwa mfano kanda ya kaskazini kuna KAHAWA ambayo kwa miongo kadhaa ilikuwa na bei kubwa ktk soko la kimataifa na zao tegemewa kwa kuiingizia hazina yetu mapato. Pia kuna utalii, na madini, mfano Tanzanite.
5. Wamisionari walijenga mashule ili waweze kuwabadili wenyeji kiimani. Huo haikuwa upendeleo bali ni hila ya kuzitawala na kuzinyonya jamii hizo. Sio sahihi kusema jamii au kanda fulani hapa Tanganyika ilipendelewa na wakoloni.
6. Serikali ya baada ya uhuru ilikandamiza maeneo yote hakuna jamii iliyoachwa salama. Kwa mfano, VYAMA VYA USHIRIKA vilivunjwa nchi nzima. Nyanza cooperative ilipovunjwa, vyama vingine vya ushirika navyo vilivunjwa nchi nzima
7. Tatizo la kanda ya ziwa ni kuwa na viongozi WABINAFSI wasiosimamia maslahi ya wananchi wao.
8. Jamii mbalimbali hapa nchini zinapaswa kuiga mfano mzuri wa WAKINGA. Ni namna gani Wakinga wamepats maendeleo makubwa bila kutegemea au kulilia kubebwa na wakubwa serikalini.
Zile siasa za kishamba za dhalimu lazima zitaendelea kuwa ni athari hasi, na alikuwa anafumbiwa macho. Niliwahi kusema anaweza kuua upinzani kinyume kabisa na utashi wa wananchi, lakini kutaanza kujitokeza upinzani usio na afya wa kikabila. Na sasa tunaelekea huko kwa kasi. Ngoja tuone hatima yake.Acheni Ukabila, athari zake ni kubwa sana. Nilishawahi pia kuwaambia wengine, hayo maneno ya Sukuma gang ni hatari sana kwa sababu wapo Wasukuma kama ni mpinzani atajihisi anabaguliwa na ku-side kivyao.
Niliwaambia pia wanawaita Wagogo washamba kisa hawakubaliani na Ndugai wakati ule (wanaofanya hivi wanajijua) athari zake ni kubwa.
Si Kila Msukuma atatafsiri neno "Sukuma gang" ni wale waliokuwa wafuasi wa JPM. Wapo watakaohisi wanalengwa wao.
Na ninyi mnaowachochea Wasukuma acheni. Yakiparaganyika kuiweka Nchi pamoja itakuwa kazi kubwa.
Wewe ni mkabila wahed.Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Huwa najiulizaga kwanini huyo aliyegawanya mikoa hii alizingatia kigezo cha ukabaila?Wewe ni mkabila wahed.