CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

Haya ni matutusa
 
CCM wasiri sio waropokaji kama Lusu

Vikao vyote hufuatana mfululizo

Kinaanza kikao cha kanati kuu kinakaa kinajadili jina na kulithibitisha na huwa siri

Kisha jina hilo hupelekwa kikao cha halmashauri kuu na wao hujadili na kupigia kura na kufanya siri

Wakipitisha ndipo hupelekwa kwenye mkutano mkuu wakiwa kikao ndani ambapo kuanzia hapo huwa ni wazi siku hiyo vyombo vyote linapotangazwa jina la mgombea
Hapo haiwi siri tena sababu mkutano mkuu ndio huidhinisha hilo jina

Hakuna kipengele cha katiba kilichokiukwa

Mkutano mkuu wanasubiri mchakato wa ndani wa kamati kuu na halmashauri waletewe jina
 
Hivi hawa watu hawajui haya mambo au wanadharau tu?

Wao si ndio wenye taarifa zote?
Wanadharau Wakati UN Imetangaza Mpaka Idadi Ya Vifo
Pia Ban Ya Kutosafiri Ili Kuepusha Kusambaza Vifusi
Watapukutika Hawa

in Magembe Voice
Utakufa Vibaya Wewe, Nakuonea Huruma
 
Hivi huo mkutano wa CCM ni wa siri, mbona hausikiki?
 
Hivi huo mkutano wa CCM ni wa siri, mbona hausikiki?
Vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu kwenye kuteua jina huwa siri
Wakimaliza process jina likipelekwa mkutano mkuu ndipo huwa sio siri tena hywa wazi kwa public
 
Maelezo mareefu lakini umerudia kuandika nilichoandika. Kuna mahali nimekosoa huo mfuatano wa vikao vyenu?

Hoja yangu ni aina siasa za kizamani kusomba maelfu ya watu toka mikoa yote ya nchi kwenda kumpigia kura mtu wasiyejua atakuwa nani!

Yaani Leo siku 3 kabla ya mkutano wajumbe hawajui wanakwenda kumthibitisha nani wewe unaona sawa.

Nani anajua huyo anayekwenda kuthibitishwa ni nani zaidi ya Mwenyekiti wa chama chenu?
 
Huwezi jua labda kutapinduka pinduka
 
Wakina makala na ile top layer ya mafisadi wakuu wa ccm wote wanajua fisadi mwenzao wanayekwenda kumpachika kwenye hiyo nafasi, ni vidagaa wa humu tu wasiomjua mteuliwa
 
Wanadharau Wakati UN Imetangaza Mpaka Idadi Ya Vifo
Pia Ban Ya Kutosafiri Ili Kuepusha Kusambaza Vifusi
Watapukutika Hawa

in Magembe Voice
Utakufa Vibaya Wewe, Nakuonea Huruma
Duh hata sielewi kumbe Kuna mambo
 
Wakina makala na ile top layer ya mafisadi wakuu wa ccm wote wanajua fisadi mwenzao wanayekwenda kumpachika kwenye hiyo nafasi, ni vidagaa wa humu tu wasiomjua mteuliwa
Kwenye kamati Kuu jina linatoka kwa Mwenyekiti. Hao kina Makala hawana walijualo.
 
Wanasombwa kwenda kikaoni kumjadili na kumpitisha sio barabarani

CCM anajadiliwa kiikaoni sio mabarabarani kama nyie Chadema

Katiba inataka myeuliwa ajadikiwe kikaoni

Katiba ya CCM sio ya kihayawani kama ya Chadema mtu hahadilliwi vikaoni anajadili hata vyooni watu wakiwa wanajisaidia haja kubwa

Wajumbe hubebwa kwenda kwenye vikao jina wanapewa vikaoni sio kwenye mabasi au bodaboda barabarani

Katiba 8batamka vikao sio barabarani
 
Mama kaweka majina yake kwenye sidiria.
Na hivi kajaliwa kifua kikubwa basi loh 😂😂
 
Hii ni sahihi.
Kutakuwa hakuna majungu wala makundi.
Watajuwa wakiwa kenye kikao na watasikiliza wagombea wanavyo jinadi.
 
jina wanapewa vikaoni sio kwenye mabasi au bodaboda barabarani
Tunajua watapewa kikaoni. Ila huoni kupewa jina siku moja kabla ya kumchagua huyo mtu ni aina fulani hivi ya siasa za kizamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…