CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

Mb
MBona huko pesa anazunguka nazo abdul kwenye brifcase na hamna
Kazi yake kububujikwa na machozi Kwa ajili ya mama😂
Na kulia kwa kwikwi kama mc pilipili
 
Ccm haina uwezo wa kufanya demokrasia kama ya cdm, maana karibia wote ni wachafu, wanajua wataingia aibu. Cdm ukiacha sera ukaanza kumiliki mali za wizi kama makada wa ccm, unapewa kweli yako hadharani. Siri za wanaccm sio za kisiasa, wala maslahi ya chama chao ama nchi, bali ni za wizi wa mali za umma.

Ngoja Lisu achukue uenyekiti akatoe elimu ya uraia kwa vijana wa kisasa uone ccm itakavyonuka shombo. Na uzuri vijana wanafuata siasa za kisasa, sio hizo za chama la wazee majizi.
 
CCM haihitaji upumbavu wa kuiga mnakoita Demokrasia ambayo imewafikisga hapa.👇👇

View: https://x.com/troll_trends20/status/1879605243434217580?t=x3uCEImcoHgSK6ZmW-EcNA&s=19
Simply hamna akili na hamjitambui,ndio shida ya kutumikia Mabeberu
 
andika hivi - wanakwenda kumpitisha na si kuchagua mtu ambaye hata hawamjui.

Aisee hicho nacho ni kichekesho.
 
shallow

Nafasi to be be field haina campaign

If you are smart in politics , you would never posted this thread

Tufiche upumbavu wetu
Kabla haijawa wazi ilipataje mtu. Wakati Kinana anaondoka ulisikia Samia alisema nini?

Mnajifanya kuwachukia "mabeberu" ila mkitaka kuleta mbwembwe za kilumumba mnatumia lugha yao.

Ungeandika Kwa kiswahili usingeeleweka?
 
Ila ChoiceVariable una moyo mkuu brother😁😁
Yupo zamu mwenzio. Hapo ni kutetea kila jambo la CCM na kuponda kila jambo la CHADEMA hadi anapoteza mantiki kabisa.

Hawa watu waliowekwa na CCM kuitetea mitandaoni wakati mwingine unahoji utimamu wao wa utu🙄
 
Hoja fikirishi, japokuwa wengi wanajua Ila hawawezi kusema hadharani. Makonda ndio anakua makamu

Unaweza usiamini lakini habari ndio hiyo
 
Hapa unakaririshwa mambo. Pia CCM haipo madarakani kutokana na weledi wake bali kutokana na wizi wa kura.

Turudi kwenye hoja. Wajumbe wanakwenda Dodoma kumthibitisha nani?
Dogo CCM ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri. Hayo maswali waulize madogo wenzako. Ila ujue tu baada ya kikao cha Dodoma na kumpata Makamu Mwenyekiti wa CCM, CCM itakuwa na nguvu zaidi ya jana. Mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…