CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

Makadinali wanafanya kampeni kumpata papa, itakuwa CCM?
Sasa Makadinali si mambo ya kuamini wanaongozwa na roho mtakatifu?

Sasa hao CCM wanaongozwa na nini hadi wafikirie kwa niaba ya wana CCM wenzao.

CCM watu wa ajabu Sana.
 
Dogo CCM ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri. Hayo maswali waulize madogo wenzako. Ila ujue tu baada ya kikao cha Dodoma na kumpata Makamu Mwenyekiti wa CCM, CCM itakuwa na nguvu zaidi ya jana. Mark my words!
Mmhhh yetu macho na masikio
 
CCM itakuwa na nguvu zaidi ya jana. Mark my words!
CCM HAIJAWAHI kuwa na nguvu toka baada ya uchaguzi wa mwaka 1995.

Baada ya uchaguzi ule CCM ikagundua haipendwi na watanzania, ndipo ilipojigeuza kuwa kikundi cha wapora chaguzi.
 
Siri gani wakati chama ni mali ya Umma ayo mambo ya siri ndo tuajikutaga tumeingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo tukipigwa faini ya kuvunja mikataba tulipa wote hizo faini wenye vyama na wasio na vyama wakamuliwa kodi vyama vinapewa ruzuku
 
So unamaanisha ccm mazombi eeh
Hahahaha
 
Kabla haijawa wazi ilipataje mtu. Wakati Kinana anaondoka ulisikia Samia alisema nini?

Mnajifanya kuwachukia "mabeberu" ila mkitaka kuleta mbwembwe za kilumumba mnatumia lugha yao.

Ungeandika Kwa kiswahili usingeeleweka?
I never knew you are this low….
 
Hii ni sahihi.
Kutakuwa hakuna majungu wala makundi.
Watajuwa wakiwa kenye kikao na watasikiliza wagombea wanavyo jinadi.
Wewe ndio hujui kitu hakuna mgombea kujinadi ni jina moja linatajwa na kurhibitishwa.
Ni kama uwendawazimu flani
 
Unauliza swali la kijinga na kitoto,huo ni utaratibu wa CCM walivyokubalina Sasa unataka wafuate utaratibu wa Vyama vyenu vinavyotegemea Nguvu ya mtu? CCM ina muundo wa kikomunist
Wee ndo mjinga umeulizwa kwa nini kusiwe na uchaguz yaan kamati ya watu 12 sijui 32 iwaamulie wanaccm mamilioni upumbafuu kabisa
 

CCM ni chama cha Kicomunist. Sawa na Russia , China na North Korea.

Zidumu fikra za Mwenyekiti.
 
I never knew you are this low….
Viingereza kwa sisi LY unatuchanganya tu. Leo bado siku mbili tu ili Mkutano Mkuu wa CCM uanze, wajumbe bado wapo gizani... HAWAJUI nani atakuwa Makamo Mwenyekiti wao🙄
 
Chama Cha Mambuzi wanakwenda kugomga Mhuri UTEUZI wa Bi Kizimkazi. Wao hawafanyi uchaguzi wanarlekezwa wampitishe mtu
 
Wee ndo mjinga umeulizwa kwa nini kusiwe na uchaguz yaan kamati ya watu 12 sijui 32 iwaamulie wanaccm mamilioni upumbafuu kabisa
Ndio maana nimekwambia wewe ni mjinga Kwa sababu muundo wa CCM ni tofauti na Vyama vyenu vinavyotegemea mtu binafsi
 
Ila MAKAMU watakuwa wanamjua tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…