Tukusanye maoni ya wananchi tutapata ukweli..?"Wapi uliona wananchi wamedai katiba mpya, dai la katiba mpya ni letu sisi wanasiasa, hivi kupitia kupatikana kwa katiba mpya itawaletea wananchi unga? Katiba mpya inayodaiwa na wanasiasa ni kwa ajili ya kutengeneza nafasi za uongozi na madaraka"
Daniel Chongolo,Katibu Mkuu wa CCM
Ukiona watu hawataki maboresho yoyote jua wanatambua yatawaumiza wao. Kila kitu kinahitaji kuboreshwa tatzo viongozi wetu hawaifikirii Tanzania ya kesho zaidiKwa hiyo ile Tume ya Jaji Warioba ilizunguka kipindi kile kukusanya maoni kwa sababu ya takwa la Wanasiasa, na siyo wananchi!!
Ok!!!
Hiyo ya jaji warioba si nyinyi UKAWA baada ya kuvimbiwa maposho mkakimbia? Unalaumu nini sasa hapa? Walaumu Mbowe, Lipumba, Mbatia na Slaa waliofanya kampeni ya kujitoa (baada ya kuhongwa na JK)kwa hiyo yale maoni ya rasim ya jaji warioba yalitolewa na watu wa india?
CCM inatufanya makondoo sanaHivi wasiasa sio wananchi?
Au wananchi hawawezi kuwa wanasiasa?
Kwa hiyo unathibitisha JK alikuwa mtoa rushwa?Hiyo ya jaji warioba si nyinyi UKAWA baada ya kuvimbiwa maposho mkakimbia? Unalaumu nini sasa hapa? Walaumu Mbowe, Lipumba, Mbatia na Slaa waliofanya kampeni ya kujitoa (baada ya kuhongwa na JK)
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!
Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai?...
Katibu ambaye hajui gazeti litaandika mini kesho? Kwa hapa Ritz umeniangusha sanaKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?...
Swali ni kuwa ushawahi waona wananchi wakitoka na mabango kudai katiba? Kama wanaitaka watoke waidai hakuna haja ya kutumia mwanasiasa wa upinzani.Huo utafiti uliomuwezesha kuhitimisha kwamba Watanzania hatutaki Katiba Mpya aliufanya lini na katika mikoa ipi? Na ukibwa wa sample yake ulikuwa upi?
Wanasiasa siyo Katika kundi ndani ya wananchi, au ni wanasiasa Raia wa Kenya?Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!
Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai....
Hivi Wanasiasa sio Wananchi?Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!
Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai...
Jamaa linatumia maqalio kufikir, kwa hyo wanasiasa sio wananchi?Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya...