CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

Ok,

Ili katiba mpya iwe hitaji la watanzania wote ipo haja ya wanasiasa kujichunguza walikokosea, na kuweka maslahi ya wananchi mbele kabla ya maslahi ya vyama vyao.

Wananchi hawaelewi hata mnachodai, wao wanataka barabara, maji, umeme, shule, ulinzi wao na mali zao... ila wakielewa kwanini mnadai katiba mpya na wakaona watapata faida gani kwayo watawaunga mkono.

Chadema mkiweza kuondoka humu mitandaoni na kwenda kufanya hili mtakuja kunishukuru😃😃

Ila kwa ninavyowajua wapinzani CCM bado wapo sanaaaaa
 
Mtaani huku wanachotaka kusikia barabara zimejengewa, maji yanapatikana na huduma za afya zimeboreshwa, suala la katiba mpya sijui nini hata hawana habari nazo na utafiti mdogo niliofanya juu ya umuhimu wa katiba mpya kwa wananchi wengi waliishia kuniambia, Je katiba mpya itaniletea chakula nyumbani? Sample ya utafiti huu ilikuwa ni ndogo lakini inatosha kuelezea maoni ya wananchi wengi juu ya Katiba Mpya. Wengi wanaona hii no bora na wengine wanafika mbali zaidi kwa kusema mchakato huu ni kama ule wa Tume ya Jaji Nyalali
 
Kwa hiyo unathibitisha JK alikuwa mtoa rushwa?
Sana, alikuwa hadi ananywesha akina Mbowe juice Ikulu, Walikuwa wanamkenulia hadi jino la mwisho, baada ya hapo akawa anawaagiza wazidi kumshindilia Lowasa huku wakizuga kwa kumtukana naye kiushkaji, wakimaliza kila mtu anamkatia bahasha yake. Wakadhani JPM ataendeleza huo upuuzi, Mwamba akawakazia!! Wamemjaribu Mother naye, oh tunaomba tuonane, kawakazia pia! Now wanatapatapa hawana pa kushika. Wamebaki kuita kila mtu dikteta, nyambaf zao
 
Huyo anaesema katiba mpya itamletea chakula ana yule adui mmoja wapo alomtaja Mwl Nyerere ujinga. Huyo anaujinga tena uliojaa mpaka pomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wapi uliona wananchi wamedai katiba mpya, dai la katiba mpya ni letu sisi wanasiasa, hivi kupitia kupatikana kwa katiba mpya itawaletea wananchi unga? Katiba mpya inayodaiwa na wanasiasa ni kwa ajili ya kutengeneza nafasi za uongozi na madaraka"

Daniel Chongolo,Katibu Mkuu wa CCM
Ndiyo imekwisha hiyo!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sana, alikuwa hadi ananywesha akina Mbowe juice Ikulu, Walikuwa wanamkenulia hadi jino la mwisho, baada ya hapo akawa anawaagiza wazidi kumshindilia Lowasa huku wakizuga kwa kumtukana naye kiushkaji, wakimaliza kila mtu anamkatia bahasha yake. Wakadhani JPM ataendeleza huo upuuzi, Mwamba akawakazia!! Wamemjaribu Mother naye, oh tunaomba tuonane, kawakazia pia! Now wanatapatapa hawana pa kushika. Wamebaki kuita kila mtu dikteta, nyambaf zao
Tunza haya maneno ipo siku yatakugharimu.
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!

Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai?

Kimsingi katiba mpya ni dai la wanasiasa kwa maslahi yao na siyo hitaji la wananchi kwa sasa a esisitiza Chongollo

Source: Channel ten

My take; Nakubaliana na Katibu u
Jamaa linatumia maqalio kufikir, kwa hyo wanasiasa sio wananchi?

Na Kama wanasiasa sio wananchi, wamepewaje dhamana ya uongozi??

#mwanasiasa akidai katiba mpya, mwanachi kadai pia, kwa sababu mwanasiasa huyo huyo ndiye Mwananchi mwenyewe!
 
Ok,

Ili katiba mpya iwe hitaji la watanzania wote ipo haja ya wanasiasa kujichunguza walikokosea, na kuweka maslahi ya wananchi mbele kabla ya maslahi ya vyama vyao.

Chadema mkiweza kuondoka humu mitandaoni na kwenda kufanya hili mtakuja kunishukuru😃😃

Ila kwa ninavyowajua wapinzani CCM bado wapo sanaaaaa
Mungu ashatuambia kabla ya kumsaidia jirani yako anza kwanza kusaidia nyumban kwako. Sasa hawa wapinzani kabla ya kutusaidia sisi waanze kwanza kujisaidia wenyewe. Katiba yao ni mbovu na ni kichochoro cha mwenyekiti kupigia hela na kukaa madarakan kwa muda usiojulikana.
 
kubali usikubali huo ndiyo ukweli ila hamtaki kuukubali wanasiasa wanataka katiba mpya kwaajili ya kipengele cha tume huru tu ambayo wanayoitumiani wana siasa mwananchi wa kawaida inamhusu nini?
Tunataka katiba mpya. Tume huru ni kipengele kimojawapo tu. Tutaanzia pale ilipoishia tume ya Warioba (attached).
 
Attachments

Mungu ashatuambia kabla ya kumsaidia jirani yako anza kwanza kusaidia nyumban kwako. Sasa hawa wapinzani kabla ya kutusaidia sisi waanze kwanza kujisaidia wenyewe. Katiba yao ni mbovu na ni kichochoro cha mwenyekiti kupigia hela na kukaa madarakan kwa muda usiojulikana.

Na watakaporudi kwa wananchi wataulizwa
 
Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.

Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.

Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?

Swali langu,

1. Mwananchi ni yupi?

2. Mwanasiasa ni yupi?

3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
Unyumbu ni hali inayotokea kwa binadamu ambaye huacha kufikiri kwaajili yake badala yake hutumia akili za kikundi kukidhi malengo ya kikundi 'an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of panic or fear'
 
Tunza haya maneno ipo siku yatakugharimu.
Acha ujinga wewe, yanigharimu vipi? Wahuni wa CDM kupiga hela za kuhongwa kuliishia kwa JK, now ubandidu tu, watakula kwa jasho lao! Unadhani Lema anapenda kuendesha Uber Canada? Mambo tight
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.

Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.

Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?

Swali langu,

1. Mwananchi ni yupi?

2. Mwanasiasa ni yupi?

3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
Sio dai la Kila mwanasiasa ni dai la wananchi wakipitia kwa wawakilishi wao wanasiasa
 
Na watakaporudi kwa wananchi wataulizwa
Ikiwa mwenyekiti wao taifa alipigwa mawe katika jimbo lake mwenyewe, vipi kwa mtu asiekuwa na jina ndan au nje ya chama hicho atagombea ubunge na ashinde?
 
kubali usikubali huo ndiyo ukweli ila hamtaki kuukubali wanasiasa wanataka katiba mpya kwaajili ya kipengele cha tume huru tu ambayo wanayoitumiani wana siasa mwananchi wa kawaida inamhusu nini?
Iboya kumbe wewe ni boya kweli
 
Back
Top Bottom