mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ok,
Ili katiba mpya iwe hitaji la watanzania wote ipo haja ya wanasiasa kujichunguza walikokosea, na kuweka maslahi ya wananchi mbele kabla ya maslahi ya vyama vyao.
Wananchi hawaelewi hata mnachodai, wao wanataka barabara, maji, umeme, shule, ulinzi wao na mali zao... ila wakielewa kwanini mnadai katiba mpya na wakaona watapata faida gani kwayo watawaunga mkono.
Chadema mkiweza kuondoka humu mitandaoni na kwenda kufanya hili mtakuja kunishukuru😃😃
Ila kwa ninavyowajua wapinzani CCM bado wapo sanaaaaa