The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kama hayo ni kweli basi watangaze siku ya kudai katiba bila Police mtaani waone wangapi watajitokeza ....!!Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.
Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.
Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?
Swali langu,
1. Mwananchi ni yupi?
2. Mwanasiasa ni yupi?
3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
By the way, yale maoni ya Tume ya Warioba yalikusanywa kutoka kwa akina nani? Na Bunge lilikaa kupitisha maoni ya kina nani?