CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.

Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya kudai Katiba ni yakutafuta madaraka tu.

Amemhoji umewaona wananchi wakiwa namabango wakidai katiba?

Swali langu,

1. Mwananchi ni yupi?

2. Mwanasiasa ni yupi?

3. Kudai katiba kunahalalisha vipi kuwa huyu ni mwanasiasa?
Kama hayo ni kweli basi watangaze siku ya kudai katiba bila Police mtaani waone wangapi watajitokeza ....!!

By the way, yale maoni ya Tume ya Warioba yalikusanywa kutoka kwa akina nani? Na Bunge lilikaa kupitisha maoni ya kina nani?
 
Alitakiwa akamuulize Jk nchi hii tuna wajinga wengi Sana ambao hujiona wanajua kumbe kichwani ni empty box
 
Kwaiyo hii nchi viongoz haifanyi ktu ad wananch watoke na mabang?lin hao hao munaowaita wananchi walitoka na mabango wakadai wanataka tozo,au ongezeko la bei ,na kwan mwanasiasa sio mwananchi na mwananchi sio mwanasiasa ,apa tukubali tu viongoz wetu wanafuata upepo unapovuma siku raisi akija kusema katiba inaitajika na muhim wote watabalika na kuyakana maneno yao ,rejea kwenye korona
Usiwe na lawama nyingi, toka na bango waone kuwa wananchi wapo wanaitaka katiba.
 
Hawataki kusikia hayo, wao ni bora waungane na mataifa ya nje kuweka shinikizo ili watwae madaraka kuliko kufanya hayo...

Wanadhani watanzania ni wajinga, hawajui kutofautisha nyekundu na kijani...Nenda kwenye grassroot uone CCM inabebwa na kina nani? Kisha linganisha na vyama vingine...Utakuta hao wengine wanapata bahati ya kuungwa mkono na vijana ambao hawana ajira zao la hao hao wanaodhani watawasaidia kupata madaraka....They are both short sighted and minded people...

Walikuwa na wabunge, badala ya zile pesa za maendeleo kutengeneza miradi ya maendeleo wao walikuwa busy kuzipeleka chamani kusaidia kuvuruga amani na utulivu wa jamii kwa maandamano na malumbano yasiyoisha...Mmeweka historia mbaya...

If truly hayo mataifa yanataka maendeleo na wellbeing ya commoners wawaletee misaada ya miradi ya maendeleo kuajiri hao vijana na kuongeza pato la mkulima uone kama mtahitaji katiba kupata madaraka....Acheni usanii na siasa za kilaghai...Tanzania is a country na tupo ambao tupo tayari kuilinda bila kujali status ya vyama vyetu

Wakati CCM inabebwa na wajumbe wa nyumba10 na kaya zao CHADEMA wanabebwa na mbowe

Halafu ikifika kwenye kura anatafutwa mchawi

Na ikifika kwenye maandamano kina Tundu wanakimbia halafu wanasema andamaneni🙄🙄
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tunataka katiba mpya. Tume huru ni kipengele kimojawapo tu. Tutaanzia pale ilipoishia tume ya Warioba (attached).
Tume ya warioba UKAWA mlijitoa dakika za mwisho bungeni baada ya kuvimbiwa posho
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Katiba mpya ndo kaburi la CCM hivyo watapinga kwa nguvu zao zote ndio maana unaona wanajitoa Mpaka ufaham na hawa ndo wasomi wetu mwisho wa siku wakiletea dharau nawakina Msukuma wanapaniki
 
Raia wa kawaida ndiyo raia gani?? CCM ni chama cha wajinga. Kwahiyo hata wewe siwezi kuchukua maoni yako. Kwasabb ni wale wale tu.
Yale makongamano ya nchi nzima yameishia wapi? Maana mlianza kwa mbwembwe kweli kweli
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ni ubinafsi tu wa mtu mweusi. Wanajua katiba mpya ndio mwisho wao wa kunyonya wananchi
 
Raia wa kawaida ndiyo raia gani?? CCM ni chama cha wajinga. Kwahiyo hata wewe siwezi kuchukua maoni yako. Kwasabb ni wale wale tu.
Ila ndiyo kinakuongoza wewe mwerevu, sasa jitathmini unakaaje nchi ya wajinga? Kama mjanja si ungekuwa wewe mtawala basi?
 
Usiwe na lawama nyingi, toka na bango waone kuwa wananchi wapo wanaitaka katiba.
Nimekuuliza swali ,wangapi au lin hao wananchi wakadai tozo?na tokea lin hii haiwez kufanya ktu bila mabango?au kudai katiba ndo ad watu watoke na mabango,na ayo mabango munayoyata ni ya aina gan ikiwa mushasema anaedai katiba ni mwanasiasa sio mwananchi kama ingekua shida mabango au watu kutaka katiba wapo wanaovaa ad mafulana ambao na mabango ambao munawaita wanasiasa sasa tokea lin ukiwa mwanasiasa unajivua kuwa mwananchi
 
ile katiba ilikwamia kwenye issue ya serikali tatu... hapo ndipo ukazuka mgogoro mkubwa ukiongozwa na Tundu lissu na wenzie zikafanyika ziara mpaka zenji kupata uungwaji mkono...mtoto wa mjini JK akaamua kulibutua akaja Mndava JPM akasema sio kipaumbele chake na ukiandamana anacharaza viboko mpaka mashangazi....amekuja mama masikini ya Mungu mnaanza kumshika sharubu...taratibu ameanza kuwaelewa na kuanza kwenda na nyie sawa matokeo yake vilio kila kona..
 
Kama katiba sio takwa la wananchi basi tume ya Warioba haikuzunguka nchi nzima,na waliwasilisha ripoti ya uongo,ccm mtendeeni haki huyu mzee Wariba najua aliwaletea kidonge ambacho ni kigumu kumeza na si yeye tu katika hilo bali kulikuwa na tume kabla yake,Jaji Kisanga, Jaji Nyalali na Jaji Warioba zote zinaongea lugha moja huu moto wa katiba mnaojaribu uuzima hamtafanikiwa ndio kwanza unashika kasi ni suala la muda tu.
 
Nimekuuliza swali ,wangapi au lin hao wananchi wakadai tozo?na tokea lin hii haiwez kufanya ktu bila mabango?au kudai katiba ndo ad watu watoke na mabango,na ayo mabango munayoyata ni ya aina gan ikiwa mushasema anaedai katiba ni mwanasiasa sio mwananchi kama ingekua shida mabango au watu kutaka katiba wapo wanaovaa ad mafulana ambao na mabango ambao munawaita wanasiasa sasa tokea lin ukiwa mwanasiasa unajivua kuwa mwananchi
Hoja ni katiba na Suluhisho la katiba umeambiwa ni mabango na wananchi hawataki katiba ndo maana hawajatoka na mabango sasa maswali ya tozo ya nn?
 
Wakuu tupitie hapa kuna maarifa tupeane kidogo


Na kura tusisahau kupigia hili andiko wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya nchi sio mali ya chama katiba ya nchi ni mali ya serikali na serikali ni watu
 
Hoja ni katiba na Suluhisho la katiba umeambiwa ni mabango na wananchi hawataki katiba ndo maana hawajatoka na mabango sasa maswali ya tozo ya nn?
Serikal ndio wenye wajbu na uwezo wa kufanya ayo yote katiba mpya na mengine haiitajik mabango wala mvutano kama suhala lina umuhimu lifanyike kama uku kusema et wananchi hawajatoa mabango sio kigezo ilo suhala la katiba lipo na watu wakitenga bajet posho zikaliwa na pia kuna sehem limeishia je unataka kusema hao waliotenga bajet kipind iko hawakua viongoz wa serikal hii au katiba ya nchi haitungw au kufanyiwa marekebisho mpaka watu waingie barabaran na mabango ,na nan atakaekubal ilo jambo lifanyike ,na je iyo katiba ya mwaka 77 kwan wananchi ndio wote waliingia mitaan na mabango ad ikatungwa ,na lin serikal kupitia vyombo vyake ilitangaza kwamba wanasubr watu waingie mitaan na mabango alaf ndo waruhusu mchakato wa katiba uendelee ,nimekutolea mfano wa tozo kwa sababu sio kila jambo serikal inafanya kisa wananch wametaka au wameandamana serikal mara nying inafanya vtu pale tu inapoona ili jambo lina manufaa na linafaa sio kwa mabango wala maandamo
 
Back
Top Bottom