GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani awamu yake ya kwanza au pili?, wale walikuwa awamu ya pili ndio maana walifanyiwa vile, huyu hana awamu kwanza ndio anatakiwa aanze kujipambania
Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inamtambuaje mh SSH kuanzia 2021-2025?
 
UNAPORUDIA JAMBO LILELILE LA KIJINGA UNAGEUKA KUWA UPUMBAVU.

BADO HAWAJALI SWALA LA MUDA
 
Reactions: Lax
Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichomalizika usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa mwandishi wa Ufm Radio Joyce Mwakalinga aliyepo Dodoma majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…