Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kama wanapingana wao kwa wao, Nape anasubiria nini kuachia ngazi? Bosi wake kamkana tayari, sasa Nape ajipime kama anatosha.
 
Nape alikuwa anajaribu kukumbuka nukuu na Dikiteta wa Umoja wa Kisovieti (Soviet Union) 1890 - 1953 Joseph Stalin alinukuliwa akisema -:
People who vote decide nothing, People who count the votes decide everything 🙄 !

Nadhani Nape alikuwa anajaribu kutafsiri alichokisoma kwenye hiyo Nukuu akajikuta anaropoka hayo maneno mbele ya kadamnasi 😳😱🤦🏽‍♂️

Nadhani Nape ni mtu wa matani sana ,
Naikumbuka hata ile kauli yake ya Goli la mkono 😳🙄🤠
Wazungu Wanasemaga. What you think so shall you be !
Anajiamini sana 😳 !
 
Siamini Nape anaweza akasema hivyo !
Nahisi watu wanamlisha maneno !
Au labda Alubadiri imesomwa na aliowaumiza kisaikolojia na sasa imeanza kufanya kazi 😳🙄🙌
Hujaiona vdeo inayosambaa kwenye magrupu? Inaonekana hujaiona bado, hii hapa video nakuwekea.
Kumbuka ni Nape huyu huyu alisema CCM watashinda hata kwa bao la mkono! Na kweli kunako 2020 walishinda kuanzia madiwani mpaka uraisi kwa 100%.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-07-16 at 19.00.52.mp4
    23.3 MB
Makala ndio Muongo , na Nape ndio mkweli.
Muongo Nape

Nape anataka kuuua credibility ya CCM toka kipindi cha Magufuli akiongelea goli la mkono

Magufuli alimuona mapema akambwaga lakini Nape ndumila kuwili akajitia kuomba sijui msamaha feki Magufuli akamsamehe

Mama Samia kuja akaanza kutukana Magufuli ili mama samia amuone mzuri akampa uwaziri tena

Hakuna waziri mnafiki na ndumila kuwili kama Nape

Alitaka kuharibu image ya CCM kipindi cha Magufuli akiongelea goli la mkono sasa kaja na hili tena yote lengo likiwa kuua image ya chama CCM ndani ya nchi na nje ya nje

Makala yuko sahihi

Ombi langu langu kwa Raisi Samia naomba kwa dhati kabisa mtoe uwaziri na asirudi hata ubunge hata alie lie vipi

Mzee Makamba asikusumbue tena kuwa umkumbuke sababu yeye yatima aliyefiwa na baba Yake Mzee Nnauye Rafiki mkubwa wa Mzee Makamba ambaye hata msiba ulifanyika kwake

Enough is enough please .Madam President

Credibility ya CCM ni ya muhimu kuliko mtu
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Ukila nyama ya binadamu hutaacha utaendelea kula tu... Limezoea wizi wa kura awamu ya tano.
 
Siamini Nape anaweza akasema hivyo !
Nahisi watu wanamlisha maneno !
Au labda Alubadiri imesomwa na aliowaumiza kisaikolojia na sasa imeanza kufanya kazi 😳🙄🙌
Unatumia smartphone, unashindwa kujisumbua hata kidogo kujiridhisha kabla ya kukoment? Haya nimekuwekea video hiyo umsikie Nape akiyaongea hayo alafu urudi tena
 
Mimi kwa hili naona Nape siyo mnafiki ila Makalla ndiye mnafiki!
Nape amesema ukweli kwamba CCM bila wizi wa kura haiwezi kushinda!
Makalla ni mwongo kabisa na hata yeye anajua kabisa kuwa CCM haiwezi kushinda kwenye sanduku la kura anawafurahisha wanaomshangilia.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini. Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Alichosema Nape ~ Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Ndio maana mwenyewe Nape alisema rais alimuonya kuhusu asiwe anazungumza 'ovyo'. Nadhani rais anaona ni mropokaji. Sasa kuna faida gani kua na waziri kama huyo kama sio anabebwa kishikaji tu. Maana wala sio mtu resourcefull na amejaa nia mbaya tu.
 
Nilionya kwamba Kauli ya Nape hata kama ametoa kimasihara ila inaweza kuondoa Imani Kwa mfumo wa Demokrasia na taasisi zake hivyo haifai na inatakiwa kupingwa na kukemewa.

Baada ya Kauli hiyo CCM Kupitia Mwenezi wake na Itikadi imeoinga Kauli hiyo na kusema Chama hicho hakihitaji Mbeleko kushinda uchaguzi kwani kina rekodi za utendaji wa kuwaletea maendeleo Wananchi na Kila mmja anaona.👇👇

My Take
Nape aombe radhi au Rais ampige chini,huku ni kulewa madaraka.
Wewe bendera fuata upepo wa mafisadi alichokisema Nnauye inawezekana ndivyo huwa mnafanya usijitoe ufahamu wananchi wamepevuka kwa sasa kwa uelewa
 
Mama Samia tafadhali shughulikia hilo usiwape ugumu watendaji wa Chama katibu mkuu na Mwenezi ondoa uwaziri huyo mtu wako mropokaji mdhalilisha Chama Nnauye

Statements zake zina effect kubwa ndani na kimataifa negatively

Unawapa hali ngumu sana katibu mkuu wa CCM na Mwenezi
Mbwage tu tena huhitaji hata kuongea naye
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Wabakaji wa demokrasia wameji 'expose fully" wao wenyewe pamoja na mbinu zao zote.
 
Kwa kauli hiyo Nape hastahili kuwa kiongozi wa Uma, ni mhalifu.
Kauli ya kipuuzi na dharau kubwa kwa wananchi, yenye kuvunja katiba na sheria.
 
Back
Top Bottom