Nape alikuwa anajaribu kukumbuka nukuu na Dikiteta wa Umoja wa Kisovieti (Soviet Union) 1890 - 1953 Joseph Stalin alinukuliwa akisema -:
People who vote decide nothing, People who count the votes decide everything 🙄 !
Nadhani Nape alikuwa anajaribu kutafsiri alichokisoma kwenye hiyo Nukuu akajikuta anaropoka hayo maneno mbele ya kadamnasi 😳😱🤦🏽♂️
Nadhani Nape ni mtu wa matani sana ,
Naikumbuka hata ile kauli yake ya Goli la mkono 😳🙄🤠
Wazungu Wanasemaga. What you think so shall you be !
Anajiamini sana 😳 !