Muongo Nape
Nape anataka kuuua credibility ya CCM toka kipindi cha Magufuli akiongelea goli la mkono
Magufuli alimuona mapema akambwaga lakini Nape ndumila kuwili akajitia kuomba sijui msamaha feki Magufuli akamsamehe
Mama Samia kuja akaanza kutukana Magufuli ili mama samia amuone mzuri akampa uwaziri tena
Hakuna waziri mnafiki na ndumila kuwili kama Nape
Alitaka kuharibu image ya CCM kipindi cha Magufuli akiongelea goli la mkono sasa kaja na hili tena yote lengo likiwa kuua image ya chama CCM ndani ya nchi na nje ya nje
Makala yuko sahihi
Ombi langu langu kwa Raisi Samia naomba kwa dhati kabisa mtoe uwaziri na asirudi hata ubunge hata alie lie vipi
Mzee Makamba asikusumbue tena kuwa umkumbuke sababu yeye yatima aliyefiwa na baba Yake Mzee Nnauye Rafiki mkubwa wa Mzee Makamba ambaye hata msiba ulifanyika kwake
Enough is enough please .Madam President
Credibility ya CCM ni ya muhimu kuliko mtu