Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanapinga kauli ya waziri wa habari sanaa utamaduni
Hiyo ni habari ya kweli sana na ndio utamaduni wao
Ko kumbe hata wao hawaamini kwamba alichokisema nape ni utani 😁😁😁😁
Jamani
Basi wamvue uongozi😁😁😁
 
Alichokisema Nape ndiyo uhalisia wa mambo yanavyofanyika wakati wa chaguzi. Nape ni mkweli.
Sahihi.ema kaongea ukweli mahali penye ukakasi (wkt usio sahihi), ila ndio hali halisi. CCM bila kuiba kura na kutumia polisi kifanikisha mabao ya mkono ni wepesi sana!
 
Back
Top Bottom