Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pweinti πŸ˜€
 
Huyu nape mama samia amtowe tu kwenye uongozi maana ni kubwa jinga linaongea bila kutafakari kazi ni kuropoka hovyo.
 
Wahuni wapo sisiemu,na wanafaida kipindi Cha uchaguzi.ila Jamaa kakelaa sana tunajua wanaibaga lkn sio ndo watuambia.. ...ni sawa na Jamaa anagonga mkeo afu akaja kukuonesha chupii ya mkeo iliyopotea🀣🀣
 
Kwa kauli hiyo Nape hastahili kuwa kiongozi wa Uma, ni mhalifu.
Kauli ya kipuuzi na dharau kubwa kwa wananchi, yenye kuvunja katiba na sheria.
Mama Samia fanya haraka piga chinii Nnauye uwaziri kisha mpelekeni huko vikao vya maadili vya chama akathibitishe hicho kaongea na asipothibitisha mfukuzeni ndani ya Chama hata alie kama ngedere kuomba msamaha fukuza kabisa hata akija kurudi audio kama mwanachama wa kawaida tub

Usiangalie machozi yake ya kulia lia mnafiki huyo nyoka ndani ya Chama
 
Masihara yepi chawa ??

Wakati ushahidi wa 2020 upo!

Your browser is not able to display this video.
 
Hana huo ubavu wa kumtoa uwaziri.
 
Hivi haya mafala ya CCM huwa yanazungumzia maendeleo yapi wanayotuletea?
 
Ukweli ni kwamba ukiondoa Mifumo mibovu ya CCM inayokulazimisha uwe mwiz pia ili uish na wez ndo ule basi kuna watu Smart sana kule. Nape anamzidi akili Mama Abdul na genge lake la Kijani na Manjano.
 
Taifa limekuwa la kipumbavu mno.
Yaani msemakweli anaandamwa as if katenda dhambi!!!

Mimi namshukuru "mkwe" wangu Nape kwa kuanika ukweli hadharani.

Sijui kisheria kwa hapa Tanzania kama kauli ya Nape ina nguvu,vinginevyo wanasheria waone hatua za kuchukua kwa sasa ama hapo baadaye baada ya chaguzi.
 
Kaongea ukweli,kafanya dhambi gani na kwa nani!!?
Ametenda dhambi ipi kwa Mungu wa Mbinguni, kwa CCM, kwa Tanzania au kwa Mh. Samia!!??
Huyu nape mama samia amtowe tu kwenye uongozi maana ni kubwa jinga linaongea bila kutafakari kazi ni kuropoka hovyo.
 
Kwa hali ya kisiasa iliyopo sasa na yaliyotokea 2019/2020 kauli hii haifai inaturudisha kwenye primitive age safari hii inaweza kuleta maafa na 4R zikaishia hapo. huyu ashughulikiwe na mamlaka vinginevyo Mungu atafanya jambo haki za walio wengi si za kuchezea hata kama kasema ukweli wake. Mwenye hofu ya Mungu kama Samia sidhani kama ataruhusu wizi wa kura eti ili mradi kwa kauli ya Nape kwa kusema Mungu nisamehe
 
Kama wanapingana wao kwa wao, Nape anasubiria nini kuachia ngazi? Bosi wake kamkana tayari, sasa Nape ajipime kama anatosha.
Nape kwenye mambo hayo ni fundi! 2015 bao la mkono. Ila acha Mungu apitie kwenye vinywa vyao kutuwekea wazi matendo yao. MUNGU anaiponya nchi. Makalla anatetea nn Kwa hili anajiaibisha bure! WaTz wa leo siyo wa mwaka 47. Na bado watafarakana sana. Watu hawawezi kuwa wanakesha Makanisani na Misikitini kuombea Mungu aliponye taifa halafu watu wanacheza na maombi ya watu. Waombaji ongezeni spana! Mungu anajibu! Wa kusema kupoteza watu alisharopoka shetani kamtumia Nchimbi akatetea. Mwizi wa kura karopoka shetani kamtumia Makalla anatetea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…