Pre GE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aise, Ila Sijui kwanini Nape ameongea huuUjonga Mkubwa hivi.
 
Wahuni wapo sisiemu,na wanafaida kipindi Cha uchaguzi.ila Jamaa kakelaa sana tunajua wanaibaga lkn sio ndo watuambia.. ...ni sawa na Jamaa anagonga mkeo afu akaja kukuonesha chupii ya mkeo iliyopotea🤣🤣
Hilo ni bonge la dharau kummmke
 
CCM inatakiwa ipinge kauli ya Amos Makala
Kama ukiweza kusoma body language ya hao watu wawili utagundua Nape alikuwa anaongea kwa kujiamini sana tofauti na jinsi alivyokuwa akiongea Ndugu Makalla 🙌

Things have fallen apart 😳 ! Alisemaga Aggoro Anduru 😅😂😂 !
 
Mwambie Samia amtoe Nape akione cha mtema kuni kwenye uchaguzi ujao.
Nape alishasema yeye ni mtaalamu wa kiufundi mzuri sana kuiwezesha CCM kubakia madarakani kiwizi wizi, na wanaCCM wanajua hilo.
 
Mtu mwenye cheo cha Uwaziri atake kuuwa credibility ya chama chake ???!

Haingii Akilini 🙄 !

Labda mtu aseme hii ni kazi ya Alubadiri na Maombi ya watu waliokuwa oppressed !
 
Baadhi yao sasa wataanza kuamini kuwa kumbe Mungu yupo kweli 🙏
 
Mbona wakati akitoa kauli hakusema kama ni utani?
 

Attachments

  • Kauli ya Nape Nnauye kuhusu ushindi bila kujali uhalali au ubatili.mp4
    15.1 MB
Kakiweka chama kwenye mtihani mgumu sana!! Tuombe Mungu kwenye chaguzi zinazokuja kusitokee vurugu. Maana mtu anaweza kukataa matokeo kutokana na kauli hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…