Wanapinga kauli ya waziri wa habari sanaa utamaduni
Hiyo ni habari ya kweli sana na ndio utamaduni wao
Ko kumbe hata wao hawaamini kwamba alichokisema nape ni utani ππππ
Jamani
Basi wamvue uongoziπππ
Sahihi.ema kaongea ukweli mahali penye ukakasi (wkt usio sahihi), ila ndio hali halisi. CCM bila kuiba kura na kutumia polisi kifanikisha mabao ya mkono ni wepesi sana!