PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa dawa yao ni wananchi kuchukua hatua za kimya kimya kuchoma nyumba zao na mali zao.

Yaaani Mwananchi ukijua nyumba ya kiongozi wa CCM unaenda usiku unamwaka petrol unachoma unasepa.

Ndo akili zao zitakaa sawa
Ushauri wako sio sahihi.
Ukumbuke sisi ni ndugu, unaweza kuwa na ndugu ambaye ni mwanachama wa chama tofauti na wewe.
Je, tuuane kwa ajili ya vyama vya siasa?.
HAPANA.
 
Tunaodhani wamepotea pengine walitupwa mtoni wakaliwa na mamba!
 
Tatizo la CCM wanaamini wapizani sio wazawa wa tanzania sasa sijui kwa vichwa vyao vina amini nini kuhusu upinzani
 
Halafu wakiambiwa CCM imejaza wajinga wanachukia , mtu mwenyw akili hawezi shiriki wimbo wa namna hiyo
 
Ni kweli. Chawa soon, inshallah watamlilia anayewafuga na kuwanenepesha na iwe hivyo. Amina
 
Chadema hajakuwa mpinzani wa ccm..mpinzani kweli alikuwa cuf watu kutozikana visima kutiwa kinyesi...
 
Aisee, hizi nyimbo waliimba sana Interahamwe mwaka 1993 hadi 1994; Kilichotokea….
 
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.😭😭😭
 
Hawa dawa yao ni wananchi kuchukua hatua za kimya kimya kuchoma nyumba zao na mali zao.

Yaaani Mwananchi ukijua nyumba ya kiongozi wa CCM unaenda usiku unamwaka petrol unachoma unasepa.

Ndo akili zao zitakaa sawa
🤔 🙄🤬☠️
 
M

Ndugu yupi toka CCM wakati wamejitangaza maadui, ambao watatupa wapinzani mtoni waliwe na mamba.
🙄🤬☠️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…