PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni wimbo uliotungwa na Watanzania wenye akili timamu! Ambao wamedhamiria kuwauwa Watanzania wenzetu wenye itikadi tofauti na Yao kisiasa! Hakuna POLISI wala BASATA waliowaita na kuwahoji hawa Mbwa.

Mbaya zaidi wimbo huu unaimbwa Hadi na VIONGOZI wa CCM wenyewe..... Ya Rwanda na Burundi yalianza hivi hivi

Your browser is not able to display this video.
 
Halafu ni watu wazima na ndevu zao. Wamefanya jambo la ajabu kweli.
 
Mambo yalianza hivyo DRC
 
Wameanza kuropoka sasa hiyo ndo Kazi Yao miaka yote kuwatupa wapinzani mtoni kuliwa na mamba
 
Daaa! Ila sio mbaya kwakuwa tuna POLIS, TISS na TPDF wao ndo wenye mzigo au jukumu la kuhakikisha amani ya nchi hii basi kazi kwao.

Huo wimbo umevuja wakati mbaya sana,
1. Wakati ambao kuna matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa raia wa vyama pinzani.

2. Wakati ambao raia wana kiu ya kuwajua wasiojulikana.

3 .wakati ambao video clips mbalimbali za wanaCCM wakiongelea mtazamo na uhusika wao ktk matukio ya mauwaji, kupotea na kuumia kwa raia wenye itikad za siasa za vyama pinzani.

4. Wakati ambao raia walio wengi wanahisi dola inahusika na matukio ya wasiojulikana.
5. Wakati/mwaka wa uchaguz.
6. Wakati ambao kuna malalamiko mengi juu ya udanganyifu uliokosa breki katika uchaguz.

Nakwabahati mbaya sana serikali haikemei suala kama hilo.
Kwahyo hapo kuna majibu mdngi kuliko maswali.
 
Hiyo sindano imewaingia kwelikweli
 
Wameanza kuropoka sasa hiyo ndo Kazi Yao miaka yote kuwatupa wapinzani mtoni kuliwa na mamba
Inaonekana hayo ndiyo malezi ya chama pengne. Japokuwa hizo maiti wangekuwa wanazikamua damu kisha nyama wanazichemsha kwenye masufuria ya kijan na njano, halafu ingekuwa kwenye tafrija zao wangekuwa wanakunywa hizo damu na nyama za wapinzani. Hiyo ingetimiza kiu zao. Kuliko kuwatupia mamba na kuchafua maji bila sababu.
 
Kuna legacy za Nyerere ni mbovu kupita maelezo alafu hata hazijadiliwi alitoa maboko mengi sana

Architect wa hii mess ni Nyerere na alijua madhara yake na akafanya tu anyway ni mtu wa ajabu sana
 
Hii ni laana sasa, kweli mmefika huko?
Nyimbo gani sasa hizi hata za Malawi miaka ya 70 zilikuwa sio hivi.

Wanaomkumbuka Kamuzu Banda watanielewa
Zilikuwa sio mbaya hivi

Leo ndugu yako unamuona adui hivi daa poleni sana, kama siasa zimewafikisha hapo
 
CCM sio chama cha siasa tena ni chama cha ki terrorist , inabidi watanzania wote tuanze kupambana terrorist organization inayo itwa ccm.
 
Wanatengeneza ajali yao wenyewe.
Wajinga sana kwa kutengeneza hiyo video sema kundi la raia feki ndiyo linausika ....chadema na wapinzani wa tz akili awana video kama hizi ni almas
 
Nilipo
Waambia watu kuwa adui wa tanzania mkubwa kuliko wote siyo ccm ni waislamu wanapo kuwa viongozi watu wakabisha tazameni mmoenendo ya nchi chini ya wailamu inavyo kuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…