CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

Uwongo, Kamwe Ccm haitatoka madarakani kwa njia ya Kura, Never!
 
🤝🙏
 
🤔🤔🤔
 
Acha kujifariji CCM inatumia dola na mbinu chafu kushinda uchaguzi kwa hiyo wapinzani wakigoma kupiga kura ni haki yao japo si vizuri.Ila inakatisha tamaa sana mfano mwaka 2019 kura zilipigwa na wakurugenzi kabla ya uchaguzi mwenyewe.
 
Uko sahihi kabisa suluhisho ni hilo.
 
Hii ni kweli kbs yaani chadema wapo wapo tu hawana mikakati yoyote kujapnga kuhusu uchaguzi
Kwanza walisema hawatashiriki uchaguzi mpaka wapate tume huru lakin saiv wanasema watashiriki
 
Nikuulize wewe ulitaka upinzani watumie njia gani? Washike mitutu ili muwaite waasi na wahaini?

Njia nyepesi ni kupitia maandamano ya amani ambayo yataionoa mioyo ya watanzania kwa ujumla na kuwapa ujasiri kwamba kuna uwezekano wa kuishinikiza serikali ya CCM aidha kuleta tume huru ya uchaguzi na kufanya maboresho maeneo mbali mbali ya katiba ili kuleta uwiano katika ushindani wa kisiasa nchini.

Jambo hilo ni hatari sana kwa ufalme wa CCM na inaweza kuwa chanzo cha anguko lao. Ni sawa na kuipulizia nati iliong'ang'ania kwa kutu ile anti rust spray huku ukiisubiri ilainike na kuifungua kilaini tu🤣.
 
HATUTOKI HATA KWA BUNDUKI Sembuse Kura..? Yaaani nchi tumuachie lisu na mboe 💩 we can't be serious... WaTz wenyew hamjitambui bogus
 
Ccm ina miaka zaid 30 kuendelea kuwepo madarakani yaani iyo ni uhakika kabisa na mtaji wao mkubwa ni ujinga wa watanzania.

Watanzania ni wajinga sio wa kumuacha mbowe andamane pekee na familia yake 🤣

mlisema mbowe andamane na familia yake na nynyi ndo mtaingia barabaran ila matokeo yake mkaingia kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…