CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo .

CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha wanachama wao kuwa CCM wanaiba kura na hawezi kutoka madarakani kwa uchaguzi.

Kauli hizi zinaipa ushindi CCM maana wanaCCM wakipiga kura wanashinda , Upinzani tunakimbilia kusema wanaiba hatupigi kura .

Hapa JF tu sidhani kama kuna hata 5 % ya watu washawahi piga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa huko .lakini bado CCM akishinda utasikia kaiba .

Ukiachana na 2020 ambapo hayati Magufuli aliamua kutimiza ahadi yake ya kutorudisha upinzani bungeni baada kumdharau , Upinzani ulikuwa unaingia bungeni , unapata madiwani japo kwa kulinda kura .

Mi nadhani tuendelee kuamini katika boksi la kura sio kila siku CCM itakuwa imara na dola itakuwa upande mmoja , kuna siku yaja CCM itaanguka kama vilivyoanguka vyama vingine.

Kutojiandikisha na kutopiga kura kunaipa Mwanya ccm kupita kihalali lakini pia inakuwa rahisi kufanya udanganyifu .
Uwongo, Kamwe Ccm haitatoka madarakani kwa njia ya Kura, Never!
 
🤝🙏
 
Hawawezi kutoka madarakani kwa kura, njia moja tu ni "vita ya wenyewe kwa wenyewe" au njia ya mandamano mkubwa kama ilivyotokea kwa Sheikh Husna wa Bangladeshi. Kwanini nasema hivyo? Polisi ambao "wajinga" ambao wanaiweka CCM madarakani hawataona sababu ya kufa ili mtu mmoja na washirika wake waendelee kuiba, JW hawatakubali kufa ili kumweka mtu mmoja maarakani!
Kura hazitawatoa maana hata watanzania ni maiti, bado kuoza na kunuka

🤔🤔🤔
 
Acha kujifariji CCM inatumia dola na mbinu chafu kushinda uchaguzi kwa hiyo wapinzani wakigoma kupiga kura ni haki yao japo si vizuri.Ila inakatisha tamaa sana mfano mwaka 2019 kura zilipigwa na wakurugenzi kabla ya uchaguzi mwenyewe.
 
Hawawezi kutoka madarakani kwa kura, njia moja tu ni "vita ya wenyewe kwa wenyewe" au njia ya mandamano mkubwa kama ilivyotokea kwa Sheikh Husna wa Bangladeshi. Kwanini nasema hivyo? Polisi ambao "wajinga" ambao wanaiweka CCM madarakani hawataona sababu ya kufa ili mtu mmoja na washirika wake waendelee kuiba, JW hawatakubali kufa ili kumweka mtu mmoja maarakani!
Kura hazitawatoa maana hata watanzania ni maiti, bado kuoza na kunuka

Uko sahihi kabisa suluhisho ni hilo.
 
Hao CDM hawana hata orodha ya mawakala wao wa vituo vya kupigia kura.

Hawana hata communication centre ya mawakala wao, wakikutana na shida taarifa wafikishe wapi.

Ndio kwanza Erythrocyte anaanzisha mada za wapiga kura kufanya kazi ya kubaharisha au tuite kulalama baada ya mipango yao kwenye kujiandaa kuelekea kwenye huu uchaguzi.

It’s beyond akili za watu wanaoweza shabikia chama kinachoendeshwa na watu wa hovyo kama CHADEMA.
Hii ni kweli kbs yaani chadema wapo wapo tu hawana mikakati yoyote kujapnga kuhusu uchaguzi
Kwanza walisema hawatashiriki uchaguzi mpaka wapate tume huru lakin saiv wanasema watashiriki
 
kwa sehemu kubwa,
umewashauri wapinzani wenzio dhaifu na waliokosa uelekeo vizuri sana..

ila hapo kwenye,
eti kuna siku yaja CCM itaanguka kama vilivyo anguka vyama vingine.

Gentleman, hapo umewahadaa sana wenzio dah 🤣

Tz hakuna mpango mikakati wa upinzani walau hata kuitikisa au hata kuitisha CCM hata kidogo. Na kamwe hawawezi kua na mpango kama huo, mpaka kwanza waache kuchukiana wao kwa wao, waache kutokuaminiana, waache kulalamika bila mipango mbadala, waache mihemko n.k🐒
Nikuulize wewe ulitaka upinzani watumie njia gani? Washike mitutu ili muwaite waasi na wahaini?

Njia nyepesi ni kupitia maandamano ya amani ambayo yataionoa mioyo ya watanzania kwa ujumla na kuwapa ujasiri kwamba kuna uwezekano wa kuishinikiza serikali ya CCM aidha kuleta tume huru ya uchaguzi na kufanya maboresho maeneo mbali mbali ya katiba ili kuleta uwiano katika ushindani wa kisiasa nchini.

Jambo hilo ni hatari sana kwa ufalme wa CCM na inaweza kuwa chanzo cha anguko lao. Ni sawa na kuipulizia nati iliong'ang'ania kwa kutu ile anti rust spray huku ukiisubiri ilainike na kuifungua kilaini tu🤣.
 
HATUTOKI HATA KWA BUNDUKI Sembuse Kura..? Yaaani nchi tumuachie lisu na mboe 💩 we can't be serious... WaTz wenyew hamjitambui bogus
 
Ccm ina miaka zaid 30 kuendelea kuwepo madarakani yaani iyo ni uhakika kabisa na mtaji wao mkubwa ni ujinga wa watanzania.

Watanzania ni wajinga sio wa kumuacha mbowe andamane pekee na familia yake 🤣

mlisema mbowe andamane na familia yake na nynyi ndo mtaingia barabaran ila matokeo yake mkaingia kusikojulikana
 
Back
Top Bottom