maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Nape siyo Mungu. Tayari nimejiandikishaKwamba Kwa njia ya makaratasi? Nape alituambia kupata ushindi inategemea na anaye hesabu na kutangaza matokeo na si kile kilichomo kwenye sanduku. Wewe ujasiri wa kusema itatoka Kwa kupiga kura umeutoa wapi?
Ni haki Yako.Nape siyo Mungu. Tayari nimejiandikisha
Hii ni hakika na kweli ccm wanashindwa mapema tu. Lkn hawatakaa wakubali kamweeTupige kura kwa kidijitali
Me sio mtzWatanzania unaosema wajinga ni wewe mmojawapo unalalamika hapa
Basi ya watanzania hayakuhusu waachie wenyewe na nchi yaoMe sio mtz
Basi sawaBasi ya watanzania hayakuhusu waachie wenyewe na nchi yao
Kajiandikishe mjinga weweAkili kubwa mnawaza kuiba kura,ku pruni majina ya wagombea na kuwambambikia kesi zisizo na tija pamoja na kuwapa uraia feki.
Nimeshajiandikisha pumbavu wewe tena siku ya kwanza tayari.Kajiandikishe mjinga wewe
Na ukapige kuraNimeshajiandikisha pumbavu wewe tena siku ya kwanza tayari.
Napiga.Na ukapige kura
Huyo dunya niliyemjibu amenielewa, au unataka kununua ugomvi?Wewe nati hazipo sawa yaani vyombo vya Dola viache raia wapigane kisa vyama
NdioHuyo dunya niliyemjibu amenielewa, au unataka kununua ugomvi?
Dunya tena πππHuyo dunya niliyemjibu amenielewa, au unataka kununua ugomvi?
Kidogo sasa.Dunya tena πππ
Yote kwayote wapinzani jitahidini mpige kuraKidogo sasa.
Maisha yako, hatuwezi kuendelea kwenda kupoteza muda kwenye mistari ya chaguzi za kihuni.Yote kwayote wapinzani jitahidini mpige kura
Una kichaaKauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo .
CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha wanachama wao kuwa CCM wanaiba kura na hawezi kutoka madarakani kwa uchaguzi.
Kauli hizi zinaipa ushindi CCM maana wanaCCM wakipiga kura wanashinda , Upinzani tunakimbilia kusema wanaiba hatupigi kura .
Hapa JF tu sidhani kama kuna hata 5 % ya watu washawahi piga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa huko .lakini bado CCM akishinda utasikia kaiba .
Ukiachana na 2020 ambapo hayati Magufuli aliamua kutimiza ahadi yake ya kutorudisha upinzani bungeni baada kumdharau , Upinzani ulikuwa unaingia bungeni , unapata madiwani japo kwa kulinda kura .
Mi nadhani tuendelee kuamini katika boksi la kura sio kila siku CCM itakuwa imara na dola itakuwa upande mmoja , kuna siku yaja CCM itaanguka kama vilivyoanguka vyama vingine.
Kutojiandikisha na kutopiga kura kunaipa Mwanya ccm kupita kihalali lakini pia inakuwa rahisi kufanya udanganyifu .
Hiki ndicho kinaipa CCM ushindiMaisha yako, hatuwezi kuendelea kwenda kupoteza muda kwenye mistari ya chaguzi za kihuni.
AiseeUna kichaa