Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao ni lazima watalipa kisasi kwa CCM iliyopita!
Ki uhalisia Kinana ndiye mwenye CCM ya leo japokuwa kinadharia Samia ndiye mwenyekiti.
Nyuma ya Kinana kuna Mafia wengi waliozibiwa na JPM na watu wake na hao watu wa JPM walio hai ni suala la muda kisasi kitawapata.
Binafsi,naiona CCM iliyopalanganyika hapo 2025.