Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Watu wawajibishwe tu kisheria ndilo jambo muhimu.
Mi Mpaka sasa nisahauri Usiwe wakati wa visasi Kama Dikteta kafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Mpaka sasa nisahauri Usiwe wakati wa visasi Kama Dikteta kafa
KolimbaUnapiga ramli ?!!!
CCM haina michezo hiyo.....
#Siempre CCM🙏
Kinana level nyingine, huyo ni field marshal wa Siasa, Jenerali wa mikakati, mtaalamu wa utawala, ukiona wanaparaganyika, jua ni dizaini za akina makondaNi suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao ni lazima watalipa kisasi kwa CCM iliyopita!
Ki uhalisia Kinana ndiye mwenye CCM ya leo japokuwa kinadharia Samia ndiye mwenyekiti.
Nyuma ya Kinana kuna Mafia wengi waliozibiwa na JPM na watu wake na hao watu wa JPM walio hai ni suala la muda kisasi kitawapata.
Binafsi,naiona CCM iliyopalanganyika hapo 2025.
Watanzania wengi tunajua Makonda ni mwathirika wa siasa za hivyo za wasiokuwa wazalendo.
Ripoti ya Bashiru kuhusu mali za ccm au?Ni suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao ni lazima watalipa kisasi kwa CCM iliyopita!
Ki uhalisia Kinana ndiye mwenye CCM ya leo japokuwa kinadharia Samia ndiye mwenyekiti.
Nyuma ya Kinana kuna Mafia wengi waliozibiwa na JPM na watu wake na hao watu wa JPM walio hai ni suala la muda kisasi kitawapata.
Binafsi,naiona CCM iliyopalanganyika hapo 2025.
Masuala ya kulipa kisasi huwa yanafanywa na watu dhaifuITAPENDEZA IKILIPA KISASI KWANI HATA NAO WALITESEKA