Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
ITAPENDEZA IKILIPA KISASI KWANI HATA NAO WALITESEKANi suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao ni lazima watalipa kisasi kwa CCM iliyopita!
Ki uhalisia Kinana ndiye mwenye CCM ya leo japokuwa kinadharia Samia ndiye mwenyekiti.
Nyuma ya Kinana kuna Mafia wengi waliozibiwa na JPM na watu wake na hao watu wa JPM walio hai ni suala la muda kisasi kitawapata.
Binafsi,naiona CCM iliyopalanganyika hapo 2025.
Umesharudi kutoka Rwanda?Ni suala la wakati tu.

Tupe tafsiri ya uzalendoWatanzania wengi tunajua Makonda ni mwathirika wa siasa za hivyo za wasiokuwa wazalendo.
Unapiga ramli ?!!!Ni suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao ni lazima watalipa kisasi kwa CCM iliyopita!
Ki uhalisia Kinana ndiye mwenye CCM ya leo japokuwa kinadharia Samia ndiye mwenyekiti.
Nyuma ya Kinana kuna Mafia wengi waliozibiwa na JPM na watu wake na hao watu wa JPM walio hai ni suala la muda kisasi kitawapata.
Binafsi,naiona CCM iliyopalanganyika hapo 2025.
Hakuna CCM ya Kinana.Ni suala la wakati tu.

Ni suala la wakati tu.

Uaneni tu mmalizane. Hayatuhusu.Ni suala la wakati tu.

wewe mwenyewe ni ccm🤣🤣🤣Ushamba unawasumbua sana. Ndo mana CCM itaendelea kutawala. Kwangu mimi sijaona maana ya vyama so long as tuna Rais makini na mawaziri makini na Sisi watu wa chini wenye madaraka kuwa wazalendo.
CCM hawajawahi kuwa wajinga. If you keep that in mind utajipanga vizuri. Siku Zote mnacheza ngoma yao. .
Hayatuhusu. Wachapane mapanga tuWatajua wao na chama chao. Chama hakina mlengo au dira ya kuleta maendeleo chanya kwa watu wake. Kinajikita kutengeneza mfumo utakao waongezea wao ulaji