CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

Unapiga ramli ?!!!

CCM haina michezo hiyo.....

#Siempre CCM🙏
Kolimba
Komba
Mangula
Membe
Lowassa
Makamba + Nape + Kinana
Pole Pole

Nakadhalika... hawa wote walishughulikiwa na ccm yenyewe
 
Kinana level nyingine, huyo ni field marshal wa Siasa, Jenerali wa mikakati, mtaalamu wa utawala, ukiona wanaparaganyika, jua ni dizaini za akina makonda
 
Kinana si mtu wa kulipiza visasi labda akiathiriwa na asili yake au akilazimishwa na wanaomzunguka
 
Watanzania wengi tunajua Makonda ni mwathirika wa siasa za hivyo za wasiokuwa wazalendo.

Waliokuwa wamejivika koti la uzalando walikuwa wauaji na waonevu, acha waone kama walichokuwa wanafanyia wengine kama ilikuwa sawa na walikuwa wanafurahia.

Wakamatwe wasagwe kwa bulldozer ili wengine wajifunze uonevu siyo mzuri
 
Dawa ya hawa CCM ni katiba mpya; wana CCM mnaodai haki njooni tudai katiba, kuishi ndani ya familia ambayo mama au baba akibadilika yanageuka mateso ni ujinga.

Njooni tudai kuwa na mfumo unaoeleweka wa kuongoza nchi, wewe Askofu wa kawe pamoja na kuwa ulishiriki kuiba kura tumekusikia kilio chako - hiyo dira ya taifa unayoidai hutakaa uipate ndani ya CCM.

CCM ni ukoo wa panya ndugu.
 
Ripoti ya Bashiru kuhusu mali za ccm au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm imejifia yenyewe hata kabla ya kufika 2025, naona maiti zao zinaelea majini (ndoto mbaya sana)🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…