Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

Kampeni sio malumbano kati ya wagombea ni kila mgombea kunadi Sera zake kwa wananchi

CCM tuko bize kunadi Sera zetu kwa wananchi sio kujibizana na mbelgiji
Itakua haupo Tanzania au haumuoni Polepole anavyotokwa na mishipa hadi kumwita mwenzake msukule??!
 
Mbeligiji wenu naye anahoja? Ikulu ataiona kwenye TV tu. Watanzania hawana akili mbovu, wanajua watakacho.
 
Mbeligiji wenu naye anahoja?. Ikulu ataiona kwenye TV tu, watanzania hawana akili mbovu.Wanajua watakacho.
Lete hoja.
Jisemee wewe usiwasemee Wa-Tanzania, ama wewe ndio Wilson Mahera mwenye phd ya kusafisha vyoo?
Hao Watanzania unaowasemea wanataka Bra Bra?
 
Sema chadema wajinga akianza kueleza mambo ya Magufuli walitakiwa wamzomee Lisu na kumwambia hatukuja hapa kusikiliza habari za Magufuli tueleze Sera zako wewe zilizokuleta hapa


Ushauri huo kawape makada wenzako walioshiba pilau na soda na kuvuta sigara kali pale Lumumba
 
Hakuna hoja hapo zaidi ya viloja.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
'jaji mfawidhi', HESHIMA MKUU.

Hiyo namba NANE, watu wameielwa barabara. Hiyo ndiyo maana ya mfukuto huu uliopo sasa.
 
Imebaki kauli mbiu tukutane october 28, mbwembwe mlizokuwa nazo miaka mitano nyuma zimeishiwa wapi??

Mbwembwe zipi bro,tatizo lenu mmekata tamaa ya maisha. Mnachofanya ni kushikilia hata povu tu mkiamini litawatoa kwenye kina kirefu cha maji.

Lissu hakuna kitu anabadirisha mwaka huu,wewe,yeye na hata chama chake wote mnajua,ila mnachofanya ni kujaribu kukataa ukweli ili kutoa nafuu miyoni mwenu.

Binafsi siipendi CCM natamani itolewe leo sasa hivi,ila sioni mtu wa kuitoa,na huwa sina kawaida ya kujidanganya.
 
We CCM mchumia tumbo tu acha kujifanya eti wewe sio CCM mlamba viatu wewe.

Chadema inawatoa nishai this time.

Naona hadi NEC inasaidia kampeni. Hakuna mazoea mwaka huu.
 
We ccm mchumia tumbo tu acha kujifanya eti wewe sio ccm mlamba viatu wewe.

Chadema inawatoa nishai this time.

Naona hadi NEC inasaidia kampeni. Hakuna mazoea mwaka huu.

niseme nini kama umeamua kujitia ujinga!!!!

baki nao bana,ila baada ya uchaguzi jiandae kuendelea kuilaumu ccm.
 
Kampeni sio malumbano kati ya wagombea ni kila mgombea kunadi Sera zake kwa wananchi

CCM tuko bize kunadi Sera zetu kwa wananchi sio kujibizana na mbelgiji

Malumbano ni nini kwani?

Ukiwa madarakani, unaongoza serikali na unataka kuchaguliwa awamu nyingine, kwa vyovyote vile wewe ndiye unakuwa ktk wakati mgumu zaidi kutetea ulichokifanya dhidi ya wakosoaji wako wa SERA na MIPANGO ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ambao ni wagombea wenzako....

Haya siyo malumbano. Huko ni kukosolewa kwa sera na mipango yako na kuoneshwa kuwa hufai kuwa kiongozi.....

Ndicho anachofanyiwa Magufuli na CCM. Ni jukumu lake kujitetea kuonesha ubora ama uzuri wa kila alichokiamua na kukitenda....

Inashangaza kuwa badala ya kujitetea kwa NGUVU YA HOJA ili kuwashawishi watu wamwelewe, yeye anaanza kutumia, hoja za NGUVU kulazimisha watu kumwelewa....!!

Kama unataka kuelewa hiki nikisemacho, muulize Donald Trump Rais na Republican yake - USA uone anavyopelekeshwa na wapinzani wake....

Ni moto kuwaka mwanzo mwisho huko. Magufuli ni cha mtoto lakini cha kushangaza ulimi tayari ulishamtoka nje kama mbwa mwenye kiu ya maji mwezi mzima...!!
 
Laiti kila mtanzania angekiwa na smart phone , CCM ingebaki Kama KANU ya kenya
 
October 28,tuna jambo letu. Tuko busy kunadi sera, hoja za Tundu zitajibiwa na kina Nassari
 
Hizo ndio hoja za Lisu?

Ndio sera za lisu hizo?
Kwamba akifika kwenye kampeni huwa anawaambia wanachadema atawafanyia hayo akiwa rais?


Lisu ni debe tupu
Debe tupu kweli kweli. Manyumbu wa Mwenyekiti, tulieni dawa iingie vizuri.
 
Oct 28,tuna jambo letu. Tuko busy kunadi sera, hoja za Tundu zitajibiwa na kina nassari
Sera za kupiga mabomu watu?
nacheza na amani ya nchi hii?
Nassari mliyemnunua baada ya kumtisha tisha?
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga kichwani.
 
Back
Top Bottom