Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

Kampeni sio malumbano kati ya wagombea ni kila mgombea kunadi Sera zake kwa wananchi

CCM tuko bize kunadi Sera zetu kwa wananchi sio kujibizana na mbelgiji
Sera ni nini au ndio nini?!

Nani ana zinadi hizo sera na wapi na lini?!

Kama una ushahidi wa video tuwekee nami nitakuwekea ushadi wa video za huyo huyo?!
 
Kampeni sio malumbano kati ya wagombea ni kila mgombea kunadi Sera zake kwa wananchi

CCM tuko bize kunadi Sera zetu kwa wananchi sio kujibizana na mbelgiji

Mataga umewahi kusikia usemi kuwa" WALE WANAOISHI KWENYE NYUMBA ZA VIOO WASIRUSHE MAWE"; sasa kama unamuita Lissu mbelgiji na wenzenu wakimuita Jiwe MRUNDI mtachukia?
 
Ndugu,pamoja na kwamba siipendi CCM,lakini ni ujinga kuamini unaweza kumshawishi mwananchi wa kawaida kwamba madaraja,vinu vya umeme,train za umeme sio vitu vya msingi kwake. Ila uhuru(sijui ni uhuru upi!!!)

Lissu anayo nafasi kuwaelekeza wananchi kuna kitu wanamiss kikampa kick,lakini si kuponda miundombinu,yaani katika upuuzi anafanya ni kusema madaraja,mandege,mabwawa si kitu si lolote,ila uhuru.

Lakini kwa sababu Lissu ni mkombozi ambaye wafuasi wake hawataki akosolewe,ni genious ambaye hakosei,ni mwanasheria anayejua sheria zote,ni muongeaji asiyeshindwa mabishano yoyote,wacha aendelee na mapambano. Ila hashindi uchaguzi huu.
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga kichwani.
Mwaka huu kumekucha!
 
Wafuasi wa Lissu humu JF mnajiaibisha. Najiuliza kama hivyo ndivyo viwango vyenu vya ufahamu wa mahitaji yenu (individual level)!! Je, unahitaji kujua jinsi wewe au ndugu yako asiyepata maji safi na salama atayapata, au majibu ya maswali hayo ya kizushi?

Amini mna bahati kuandika kwa kutumia ID feki!!
 
Mleta mada pamoja na kujitahidi kuleta hoja za Lissu kuna sehemu umemnukuu vibaya hasa kuhusu viwanja vya ndege nchini, Lissu hajasema kuwa Mkoloni alijenga kiwanja kimoja cha ndege, bali anasema walijenga vingi

Pia hajasema reli zote hizo ulizoziorodhesha ni SGR, hapa umemlisha maneno
 
Kampeni sio malumbano kati ya wagombea ni kila mgombea kunadi Sera zake kwa wananchi

CCM tuko bize kunadi Sera zetu kwa wananchi sio kujibizana na mbelgiji
Mkuu kampaini ni pamoja na kubainisha mtangulizi wako mapungufu aliyoyafanya kama kigezo cha kushawishi watu kutokwa imani kwake. Fuatilia midahalo ya wakubwa uone mfano tena leo ucku kuna mwingine wa Donald Trump na Jooh Biden
 
Usitutishe wewe mfagizi wa Lumumba. We nani?
Hujitambui ndiyo maana unashabikia Sera za kipuuzi.

Mtaji wa maskini ni nguvu yake mwenyewe. Jiimarishe kiuchumi ili sauti yako (uhuru na haki) iweze kusikika au kusikilizwa. Iwapo wewe ni ke na umeolewa, na huna kipato, najua unateswa na mmeo, vingenevyo unamnyanyasa mmeo. Kama wewe ni me, ama unamnyanyasa mkeo au unanyanyaswa.

Tunahitaji viongozi wa kuwezesha kila Mtanzania kuondokana na umaskini. Ili linawezekana uwapo utajiri wa nchi utatumika (kama ilivyo sasa) kuboresha mazingira ya kila mwananchi kufanya shughuli zake za maendeleo (huduma za jamii, miundo mbinu, nk).

Jitambue, Jikubali, Jiandae.
 
Wewe Id real eeh! Endelea kuimba mapambio wenzako tunachanja mbuga
 
Unahitaji viongozi wa kuondosha umaskini?? Basi hawezi kupatikana ndani ya CCM ineshindwa kwa miaka 60 haiwezi hataipewe miaka 1000 mingine. CCM haina mtu mwenye uwezo huo. Wote vilaza tu
 


KWA HIYO
 
WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
 
you missed the Point to hell
 
Usimfananishe Lowassa na Lissu.
Lowassa alikamata roho za watz...

tulimpigia deki barabara

Viva Magu 2020 to 2030
Hizi watasema ni kejeli. Yaani hapa Mgombea tumepata aisew. Sio Lowasa anasema zungusha mikono harafu anakaa.

Hapa ni kampeni elimi ya phd unapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…