Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Samahani sana kwa kusema chadema inakufa kwa kuwa nilimaanisha CHADEMA IMESHA KUFA, KWISHNEY, KALUS,GONE, FINISHED WALAHI
Psychopath walahi
Nakukumbusha tena , Muulize wassira
 
Kanogewa na ulaji sasa anahisi kama atanyang'anywa
 
2020 JPM hata asipopiga kampeni, ushindi ni dhahiri tena kuanzia 90% and above.
Hivi wale waliosema umaarufu wake umepungua walimsingizia?Imagine hakushinda kwa asilimia sitini na tumeshaambiwa umaarufu umepungua.Kwa sasa si atakuwa na asilimia ishirini hivi!?Nikuhakikishie tu kwamba goma likiwekwa kati na kukawa na fair play jamaa yako atapata tabu muno
 
PM muungwana sana,hilo ni tukio nadra kwake. Rais yupo busy na kampeni za wazi kila uchao Katika ziara rasmi kwa kauli,matendo na hadhira mavazi. Inakera sana na kuchefua Watu wa protocol wamsaidie elimu yeye sasa ni Baba,Rais wa wote.
Na bado haeleweki, je angekuwa hafanyi hivyo hali ingekuweje?
 
Enough is enough ndugu zangu mliomo ndani chama cha mapinduzi hameni njooni CHADEMA/CAF HALALI.
 
Wakijibiwa watasema umemdharau waziri mkuu, waziri mkuu ni mtendaji wa serikali na anapofanya siasa ni mwanaccm, wanatumia pesa za serikali kufanya kampeni za kisiasa, wanasheria na wanaharakati mko wapi?
 
Hayo mdio yaliyo baki. Majaliwa anaelewa wazi hawakupewa ridhaa na wananchi bali NEC na wale jamaa wa idumu milele ndio waliiweka madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…