Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Wanaogopa kitu gani wakati wanaimba wimbo wa kukubalika?
 
Wanajua kuwa kura za o za kulazimisha hawataweza ifikapo 2020
JPM si kipenzi cha wote, sasa anaogopa nini mpaka aseme wasimwangushe. INA MAANA KUNA KITU WANAKIHOFIA, kuna kitu hakipo sawa!.
 
Maendereewoo hayana chama
PM muungwana sana,hilo ni tukio nadra kwake. Rais yupo busy na kampeni za wazi kila uchao Katika ziara rasmi kwa kauli,matendo na hadhira mavazi. Inakera sana na kuchefua Watu wa protocol wamsaidie elimu yeye sasa ni Baba,Rais wa wote.
 
Wanachezea Akili zetu tu, kwani 2015 alishinda? Watumie mbinu zilezile walizotumia
 
2020 JPM hata asipopiga kampeni, ushindi ni dhahiri tena kuanzia 90% and above.


Sawa. Kwa mbinu zote lakini from goal la kisigino mpaka la mkono.

Vyama mbadala viache ubinafsi na waweke tofauti pembeni.
Hii itasaidia kuleta amsha amsha ya hatari.
Tone ya 2010 na 2015 iwe ile au zaidi. Nothing less.

Na hiyo inawezekana kwa kushirikiana.
Simamisha Zitto na Jussa , president na vice president respectively, hapo hata wakiiba but lazima mchuano uwe motoooooooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…