Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Hayo wasema wewe.
Wewe wasema hayoHayo wasema wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo wasema wewe.
Wewe wasema hayoHayo wasema wewe.
Wameshindwa kupata mbadala wa kinana hadi LeoUmesikia habari za Bangladesh?
Unaruka ruka Tu kama maharageKwanza ni dharau ,pili ni kujiona kuwa wewe upo sawa na mawazo yako ndio alfa na omega na wewe ndiye upo sahihi na hustahili kupingwa wala kukosolewa wala kujibiwa tofauti na mawazo yako.
Nchi ingetakasika kuondokewa na hao mumianiNatamani litokee tetemeko la ardhi hilo jengo wanapofanyia kikao lizame chini ya ardhi ili Tanganyika yetu ipone.
Lucas Mwashambwa katika Moja na mbili, haya utuletee mrejesho yakiwemo maazimioNdugu zangu Watanzania ,
Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.
Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.
Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.
Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kweli kabisaNchi ingetakasika kuondokewa na hao mumiani
Wala usijaliLucas Mwashambwa katika Moja na mbili, haya utuletee mrejesho yakiwemo maazimio
Soma katiba ya chama ili uelewe upatikanaji wakeWameshindwa kupata mbadala wa kinana hadi Leo
Bora umemtia msumari wa moto, huyo jamaa kiukweli hajitambuiDuh...!, niliwahi kusisitiza humu kuwa mtu kuwa kichaa sio lazima aokote makopo!, kiukweli kabisa tuna vichaa wengi humu kuliko tunavyojidhania!. I doubt hata kama umewahi kuisoma katiba ya CCM!. Tusilete ushabiki maandazi humu, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu!, nakusubiria kwa hamu ulete huo ushahidi na ukiukosa, nathibitisha humu kuwa wewe ni miongoni mwa waliomo kwenye kundi hili Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania!. Mtu unaweza kuwa unajibishana na mtu humu ukijua ni timamu kumbe...
Nakusubiria!.
P
Labda wewe ndiye hujitambuiBora umemtia msumari wa moto, huyo jamaa kiukweli hajitambui
Endelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kujenga imani kwa watanzania na kuaminiwa mioyoni mwao mamilioni ya watanzaniaKikao cha majizi ya rasilimali, watekaji na wauaji wa wananchi wasio na hatia, kikao cha waiba kura maarufu wa nchi tena wanajinasibu kuwa na bao lao la mkono, kikao cha mediocre leaders
Fvck off!Endelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kujenga imani kwa watanzania na kuaminiwa mioyoni mwao mamilioni ya watanzania
Soka tena? Ukute wewe ndio unajua soka mahali yupoSoka katiba ya chama ili uelewe upatikanaji wake
Siyo lazima yeye kuhudhuria wakati anaweza kutuma wa kumuwakilishaKwa hiyo Dr.Nchimbi hatohudhuria mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama?
Hilo liko waziCCM ni chama safi na ndio sababu kinaendelea kuaminika na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.